Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu usihofu sana tunaishi mara moja tu acha vifanyio vigusane 😀

Kwa kweli nimekosa game kali, mimi naona FSG Hawa ndio wanatukost sana hawataki kusajiri wanategemea miujiza kila Mara wanamuona klop kama yesu.

Mwenzao kipara kule anapewa kila anachotaka Ila hawa wa huku kwetu hawana tofauti na mudi wa simba,
Wanaingiza faida na kutoa pesa irudishe faida hawataki matokeo yake ndio kama hivi, key players wakikosekana tuna struggle sana,
Naona klop angeondoka atuachie team hili maana inakoelekea atajiharibia cv sababu ya mabosi wachaga wa marekani.

Hivi Gomez alipona kumbe? Jamaa akichezaga kati huwa anatisha sana shida yake inategemea na atakavyoamka siku hiyo.
Ila i prefer Gomez na matip kuliko kounate mkuu.
Haha Gomez amepona na leo umemuona pengine Klopp anaona hana full match fitness ndio maana anaanza benchi...

Konate na Matip wote ni mizigo tukipigwa kaunta hawana msaada ndio leo shoti za hatareee sana zimefika kwa Allison...

Hata goli ya la kwanza ni marking positions ya Milner, Morton, Konate na Matip walikutwa off guard na pasi ikamfikia Kane. Pale akiwepo Fabinho na VVD lile goli zipo asilimia kubwa tusingepigwa..

Hili bajeti finyu ya FSG ni janga aisee kwanza unajiuliza hata bila kua professional unaona kabisa hiki kikosi ni finyu na hakija balance angalau kwa Robertson na Tsimikas pale pana ahueni lakini kwingine kote sio unakata mti unapana timu kwani udhaifu ni mkubwa sanaa..

FSG hawamumunyi maneno kwenye haya mambo yaaani wao wanagharamia kuboresha kupanua Anfield, uwanja wa mazoezi AXA...

Liverpool wanajigharamia kununua wachezaji, kulipa mishahara nk kwa hapa FSG wanasema tumia unachazalisha bila wao kutoa ela yaaani Klopp ni genius maana kwa kikosi cha ku unga unga huyo hapa nafasi ya pili ndio tuopoooooooo ndio ujue kasi imefanyika ya hali ya jiu.

Mansour pale kwa Pep hua anapewa zana zote yaani ni aibu Manchester City kukosa.

Salute kwa vijana leo wametutedea hakii sana kwamba pamoja walipoteana kwa kukosa balance ya kikosi..

YNWA
 
Next games

Man city Vs lecister city



Liverpool Vs Leeds


Chelsea Vs astonvilla ......


Nan anenda kudondosha point .....keep watching ....




IMG-20211219-WA0074.jpg
 
Guardiola huwa ana overthink kupitiliza kwenye hizo knock outs.
Ile fainali na Chelsea, hana mtu wa kumlaumu!!
Yani umetoka kumtoa PSG with a very dominant performance..... WTF was he thinking kubadilisha set up.
Ata kipindi anatolewa na Lyon, ni overthinking zilimfikisha kulee
Hahaha hili ndugu ndio plain naked truth...

Pep is his own worst nightmare yaaani overthinking ya huyu bwana sio ya kitoto.. Anatafutaga headlines wakati sio kabisaaaa badala aede kwenye basics anakwenda kwenye complication mwishowe UCl ataisoma sana namba zake wengine..

YNWA
 
Boss umesahau kilichotokea msimu uliopita kwa sababu squad depth??
Injuries, Covid, Afcon.....
Tusubiri, muda haujawahi kudanganya

Mkuu kwa uzoefu wangu raundi ya kwanza haitofautiani sana na raundi ya pili .


Raundi ya kwanza ukibaki top 4 Baada ya mechi 19. Kwa hizi timu kubwa lazima zitabaki top 4 tu.

Msimu uliopita Baada ya mechi 19 tulikuwa namba nne tulizidiwa zaidi ya 15 na man city kama sijakosea.

Hapo nilikuwa nauwakika na top 4 tu sio ubingwa.

Mkuu kikosi nakijua mkuu sisi wanzee wa kikosi kimoja.

Mkuu mpaka saizi ubingwa uko kwa kipara hilo nalitambua kabisa halina ubishi nieleweke hapo,

Ila sisi tuna nafasi ya kumchallange na sio aliyozidiwa point 15 , raundi kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom