Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani leo tunachanwa kweupee kama hatupo vile...

Midfielder pale kati ni mizigo..

Defence mizigo yaaani bila Alisson mbona leo nyingi sanaaa...

Robertson silly tackle aafu anacheka yaaani i miss old Fergie maana kama hapa mchezaji mbona angeisoma namba..

Na ni Captain wa Scotland anafanya ujinga kama huu like serious...

YNWA

Mkuu pale kati Aibu Aisee.ila Spurs wakawaidia sana yaani hapo ndio full kikosi? HAwatuwezi
 
Kipindi cha kwanza Refa aliwastahamilia sana
Yaaani ugenini na kikosi kilivyo finyu hivi tumetoka na pointi moja mbona kama ushindi kwetu huu...

MF ndio hua injini ya Liverpool ya Klopp na leo hakika ilikua hafifu sana.

👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 Kwa matokeo haya.

Refa kituko sana yaaani faulo aliyocheza Kane hakustahili kwenda kwenye kitivi ila kwa Robertson amekimbilia kwenye kitivi...

Mwezi huu wa December ni dhahiri marefa UK ni kama wamechoka sana kwa kweli wakale krismasi warudi wakiwa na vichwa sawa sio haya ya leo..

YNWA
 
Mkuu pale kati Aibu Aisee.ila Spurs wakawaidia sana yaani hapo ndio full kikosi? HAwatuwezi
Tukumbaliane hatuna kikosi cha kuwakimbiza Manchester City tunahitaji kabisa na bahati kama leo ili kua nao aisee maana hivi Spurs wamekosa aje yale magoli yao yaaani...

Kwa wale wenye imani na Keita kwa kweli pole zao. Nilidhani leo angeupiga mwingi sana kujisogeza angalau awe anaanza hata kikosi kikiwa full ila huyu ni wa benchi hakuna namna...

Milner umri kwa kweli umefika penyewe zile pasi zake nazi miss sanaaaa lakini ndio mwili unataka moyo unagoma...

Morton hahaha amateur kid kajitahidi aisee ugenini bila Fabinho na VVD kumwambia wapi awe makini nako yaaani...

YNWA
 
Robbo ule mtama aliompiga mwenzake daaaa utafikili mieleka ...

Jamaa kafyeka miguu yote kwa pamoja ,kama fyekeo ...

Yaan alitakiwa kula red card na makofi juu pumbavu kabisa
 
Yaaani ugenini na kikosi kilivyo finyu hivi tumetoka na pointi moja mbona kama ushindi kwetu huu...

MF ndio hua injini ya Liverpool ya Klopp na leo hakika ilikua hafifu sana.

Kwa matokeo haya.

Refa kituko sana yaaani faulo aliyocheza Kane hakustahili kwenda kwenye kitivi ila kwa Robertson amekimbilia kwenye kitivi...

Mwezi huu wa December ni dhahiri marefa UK ni kama wamechoka sana kwa kweli wakale krismasi warudi wakiwa na vichwa sawa sio haya ya leo..

YNWA
Marefa wanatuchukia Arsenal, inawezekana mmenyimwa red card ili Spurs amtoe Gunners Top four ahaaaha
 
Pumzi imeshakata Sasa mtuachie mbio zetu za ubingwa .....

Yaani tunakimbia pekee yetu ,wengine tumewaacha mbali sana

Come on city
 
Marefa wanatuchukia Arsenal, inawezekana mmenyimwa red card ili Spurs amtoe Gunners Top four ahaaaha
Will Jr jamani asa nyie mahasimu wa kudumu na Spurs kwa hio sasa ni mission ya kuwatoa BIG 4 waingie wao Hahaha duuh basi imekula kwao maana tumegawana keki leo hakuna zaidi...

YNWA
 
Liverpool nguzo yake kubwa ni kuwin second ball thru Counterpress, kama huna Fab & Thiago hakuna mpira utachezwa hapo, nimeshangaa Spurs mbovu inapataje droo.
 
Howzit kops?..

Mechi hii ya leo kiukweli nimeikosa kuna limshangazi limeniweka kwapani all the day.
Licha ya kuwa ni draw hebu basi tupeni analysis kuhusu mechi hii naskia ilikuwa tough sana mbele ya conte hanaga shughuli ndogo kabisa.
Na ushindi wa city naona kama kipara kapania asishushwe tena kenge huyu au sababu alicheza na wadhaifu Newcastle?
Captain Marvelous niaje brother?
 
Jamaa zetu wa arsenal wakati huu wanajihisi Kama vile wako peponi yaani, ila nina watarudi kwenye default settings Kama kawaida yao 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom