Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shida ya klopp ni emotional guy alitakiwa awe very calculated likewise Pep Guardiolla,
Rajabu Omari nilimwambia pep is a perfect thinker, Afcon inawachukua outlets wawili Mane & Salah, Sasa Van dijk anacheza kwa nani tena zile Long press breaking passes? Hapo ndio Pep anapoCapitalize, No wonder why klopp anaenda kwa Raphinha
IMG_20211204_214800.jpg
 
Pale Pain Killer utashuka aisee...

Kipara alipo hana furaha maana anajua hatari kwake ni Liverpool na tupo na nyinyi mpaka kieleweke...

YNWA
Kipara yupi unamzungumzia mkuu??
Kwa kile kikosi cha City na consistency ya Guardiola, kuna wa kumzuia??
Ndio na nyie mpo vzr, ila kikosi chenu siyo kipana kama cha City.
City have quality everywhere, siyo bench, siyo starting eleven.
NADHANI LEO CITY NDO KATANGAZA UBINGWA, UNLESS A MIRACLE HAPPENS
 
Hiyo miujiza ya pep hatuioni UEFA Mbona hapo city.
Tukubaliane kwa wachezaji wa pep kwenye epl anasumbua sana. Imagine jurgen angekuwa city na kipara akabidhiwe hii Liverpool yenye ukame wa wachezaji.. Na mabosi mabahili..
 
Uefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...

Wide and strong team win epl ,....but strong team can win CL
 
Howzit kops?..

Mechi hii ya leo kiukweli nimeikosa kuna limshangazi limeniweka kwapani all the day.
Licha ya kuwa ni draw hebu basi tupeni analysis kuhusu mechi hii naskia ilikuwa tough sana mbele ya conte hanaga shughuli ndogo kabisa.
Na ushindi wa city naona kama kipara kapania asishushwe tena kenge huyu au sababu alicheza na wadhaifu Newcastle?
Captain Marvelous niaje brother?
Mkuu ndio ushaanza kula vyako taratibu na hizi vibe vya sikuku hahaha haya enjoi ndugu.. Be wise and smart kujilinda haha..

Umekosa proper game aisee japo tupo na kikosi dhaifu vijana wamejituma pa kutosha... Japo pia uzembe wetu na pasi za hovyo za vijana na kukosa kusoma mchezo vizuri zimewapa Spurs magoli yao mawili...

Ukicheza high line lazima ujue kuusoma mchezo vyema na kuelekezana vyema wapi panahitaji mchezaji nk kazi hii hua anaifanya Fabinho na VVD vyema sana..

High line defence bila wachezaji sahihi kama leo ni tatizo sana na leo hatukua na wachezaji sahihi...

Klopp angerisk kwa Gomez ambae ana speed kuliko Matip na Konate yaaani maana hawa wawili ni wazito na hiii highline wamekua outplayed bila Allison mbona tungepigika sana...

Hata hivyo leo VAR imekua kikwazo kutoa equal treatment kwetu...

YNWA
 
Kipara yupi unamzungumzia mkuu??
Kwa kile kikosi cha City na consistency ya Guardiola, kuna wa kumzuia??
Ndio na nyie mpo vzr, ila kikosi chenu siyo kipana kama cha City.
City have quality everywhere, siyo bench, siyo starting eleven.
NADHANI LEO CITY NDO KATANGAZA UBINGWA, UNLESS A MIRACLE HAPPENS

Mkuu point tatu raudi ya kwanza imeisha ni gap dogo sana labda kwa chelsea.

Unaongea kishabiki tu hata kipara mwenyewe anawafikiria Liverpool ndio watakao mpa changamoto.

Tungekuwa tumepitwa point 15 raundi ya kwanza ningesema sawa ila point 3 tu ,tunasifa zote za kuwa bingwa na kikosi kiko vizuri sana.

Hauta elewa saizi kwanini nakuambia hiyo .

Wengi wenu humu hamuelewi soka linavyoenda kama mashabiki wa chelsea wakiongoza ligi wasema wanachukua ubingwa saizi wamekimbia huku walikuwa kila wakati sisi tunachukua ubingwa,nikiwaambia hamna mchezaji wakuwapa ubingwa nyinyi hawataki sasa hivi wanaona Aibu.
 
I believe in miracles man....

Upo sahihi tunakosaaa kabisa depth yaaani kikosi ndio kikwazo na pia quality ya hao waliopo ki ukweli ni Klopp brilliance tu ndio inatuweka tulipoooo...

In the meantime ndugu Pep ameshapigika tena na Crystal Palace msumu huu hivyoo sio kwamba ni fortress hapana anafungika aisee..

Cha msingi hapa ni kuhakikisha tunakua clinical as better as we can...

Kumkimbiza kipara sio kibarua rahisi tena kwa ma boss kama FSG mbona Klopp anajitahidi sanaaaa....

YNWA
 
Mkuu ndio ushaanza kula vyako taratibu na hizi vibe vya sikuku hahaha haya enjoi ndugu.. Be wise and smart kujilinda haha..

Umekosa proper game aisee japo tupo na kikosi dhaifu vijana wamejituma pa kutosha... Japo pia uzembe wetu na pasi za hovyo za vijana na kukosa kusoma mchezo vizuri zimewapa Spurs magoli yao mawili...

Ukicheza high line lazima ujue kuusoma mchezo vyema na kuelekezana vyema wapi panahitaji mchezaji nk kazi hii hua anaifanya Fabinho na VVD vyema sana..

High line defence bila wachezaji sahihi kama leo ni tatizo sana na leo hatukua na wachezaji sahihi...

Klopp angerisk kwa Gomez ambae ana speed kuliko Matip na Konate yaaani maana hawa wawili ni wazito na hiii highline wamekua outplayed bila Allison mbona tungepigika sana...

Hata hivyo leo VAR imekua kikwazo kutoa equal treatment kwetu...

YNWA
Mkuu usihofu sana tunaishi mara moja tu acha vifanyio vigusane 😀

Kwa kweli nimekosa game kali, mimi naona FSG Hawa ndio wanatukost sana hawataki kusajiri wanategemea miujiza kila Mara wanamuona klop kama yesu.

Mwenzao kipara kule anapewa kila anachotaka Ila hawa wa huku kwetu hawana tofauti na mudi wa simba,
Wanaingiza faida na kutoa pesa irudishe faida hawataki matokeo yake ndio kama hivi, key players wakikosekana tuna struggle sana,
Naona klop angeondoka atuachie team hili maana inakoelekea atajiharibia cv sababu ya mabosi wachaga wa marekani.

Hivi Gomez alipona kumbe? Jamaa akichezaga kati huwa anatisha sana shida yake inategemea na atakavyoamka siku hiyo.
Ila i prefer Gomez na matip kuliko kounate mkuu.
 
Uefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...

Wide and strong team win epl ,....but strong team can win CL
Sijakataa hilo mzeebaba
Lakini hutakiwi kuwafananisha hao vichwa viwili kabisa wapo kwenye ligi yao sidhani kama mmoja ni bora zaidi ya mwengine
Ukimuuliza pep atakwambia anamuhofia JK, the same to jk..

Jk anakosa hicho unachoita wide squad
 
Uefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...

Wide and strong team win epl ,....but strong team can win CL
Guardiola huwa ana overthink kupitiliza kwenye hizo knock outs.
Ile fainali na Chelsea, hana mtu wa kumlaumu!!
Yani umetoka kumtoa PSG with a very dominant performance..... WTF was he thinking kubadilisha set up.
Ata kipindi anatolewa na Lyon, ni overthinking zilimfikisha kulee
 
Hakuna kitu Kama hicho
Kama pain killer anavyosema UEFA ni game of chance, watu walipata nafasi wakampiga.
Kipara anafungika pia ni jinsi team zinavyotumia chance kukuadhibu basi.
 
Shida ya klopp ni emotional guy alitakiwa awe very calculated likewise Pep Guardiolla,
Rajabu Omari nilimwambia pep is a perfect thinker, Afcon inawachukua outlets wawili Mane & Salah, Sasa Van dijk anacheza kwa nani tena zile Long press breaking passes? Hapo ndio Pep anapoCapitalize, No wonder why klopp anaenda kwa RaphinhaView attachment 2050287

Mkuu Liverpool tulishawahi kuwa na wachezaji wote uliowataja ila tukafungwa swala la kufungwa lipo tu hatuwezi kumaliza ligi bila kufungwa .mpaka sasa kaa ukijua Liverpool inasifazote za kuwa bingwa Epl msimu huu,raundi ya kwanza inaisha hiyo tumezidiwa point 3 na mtu wa kwanza sio mbaya tuna nafasi ya ubingwa bado.
 
Mkuu point tatu raudi ya kwanza imeisha ni gap dogo sana labda kwa chelsea.

Unaongea kishabiki tu hata kipara mwenyewe anawafikiria Liverpool ndio watakao mpa changamoto.

Tungekuwa tumepitwa point 15 raundi ya kwanza ningesema sawa ila point 3 tu ,tunasifa zote za kuwa bingwa na kikosi kiko vizuri sana.

Hauta elewa saizi kwanini nakuambia hiyo .

Wengi wenu humu hamuelewi soka linavyoenda kama mashabiki wa chelsea wakiongoza ligi wasema wanachukua ubingwa saizi wamekimbia huku walikuwa kila wakati sisi tunachukua ubingwa,nikiwaambia hamna mchezaji wakuwapa ubingwa nyinyi hawataki sasa hivi wanaona Aibu.
Boss umesahau kilichotokea msimu uliopita kwa sababu squad depth??
Injuries, Covid, Afcon.....
Tusubiri, muda haujawahi kudanganya
 
Tukumbaliane hatuna kikosi cha kuwakimbiza Manchester City tunahitaji kabisa na bahati kama leo ili kua nao aisee maana hivi Spurs wamekosa aje yale magoli yao yaaani...

Kwa wale wenye imani na Keita kwa kweli pole zao. Nilidhani leo angeupiga mwingi sana kujisogeza angalau awe anaanza hata kikosi kikiwa full ila huyu ni wa benchi hakuna namna...

Milner umri kwa kweli umefika penyewe zile pasi zake nazi miss sanaaaa lakini ndio mwili unataka moyo unagoma...

Morton hahaha amateur kid kajitahidi aisee ugenini bila Fabinho na VVD kumwambia wapi awe makini nako yaaani...

YNWA

Mkuu ukiachana na yote Allisson kazingua lile goli la pili anashindwa kuupiga ule mpira Kweli ?

Ila zile save zake nilikuwa namkumbuka taffareli tu kwamba amefanya kazi Nzuri.
 
I believe in miracles man....

Upo sahihi tunakosaaa kabisa depth yaaani kikosi ndio kikwazo na pia quality ya hao waliopo ki ukweli ni Klopp brilliance tu ndio inatuweka tulipoooo...

In the meantime ndugu Pep ameshapigika tena na Crystal Palace msumu huu hivyoo sio kwamba ni fortress hapana anafungika aisee..

Cha msingi hapa ni kuhakikisha tunakua clinical as better as we can...

Kumkimbiza kipara sio kibarua rahisi tena kwa ma boss kama FSG mbona Klopp anajitahidi sanaaaa....

YNWA
Naomba niweke msisitizo kwenye paragraph ya mwiso😅😅
Mkuu Ladder 49 naomba upite hapa
 
Liverpool nguzo yake kubwa ni kuwin second ball thru Counterpress, kama huna Fab & Thiago hakuna mpira utachezwa hapo, nimeshangaa Spurs mbovu inapataje droo.

Mkuu Liverpool inajulikana kabisa Ina kikosi kimoja,

Lakini tunapambana hivyo hivyo na low budget na tunapata matokeo.

Raundi ya kwanza bado mechi moja tupo juu hapo kwa tofauti ya point 3 sio mbaya.
 
Mkuu ukiachana na yote Allisson kazingua lile goli la pili anashindwa kuupiga ule mpira Kweli ?

Ila zile save zake nilikuwa namkumbuka taffareli tu kwamba amefanya kazi Nzuri.
Mpira ni mchezo wa many saves but 1 single relapse inakucost pointi... Na leo ndio limetokea hivyo.. Hatukufanya mamuuzi sahihi wakati sahihi aisee.. Timely runs hazikuwepo na kwa bahati mbaya mabeki hawaku react inavyotakiwa wakati sahihi.. Pale tulipopata goli la pili Klopp alitakiwa abadili mpira kwenda kwenye management ya kuzui ushindi wetu na pengine kuongoeza la pili lakini sasa kikosi kilikua hafifu na Spurs wakachukua hio advantage kutuumiza...

Ile sevu iliyoshidikana ya goli la pili sio mpira rahisi aisee...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom