Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shida ya klopp ni emotional guy alitakiwa awe very calculated likewise Pep Guardiolla,
Rajabu Omari nilimwambia pep is a perfect thinker, Afcon inawachukua outlets wawili Mane & Salah, Sasa Van dijk anacheza kwa nani tena zile Long press breaking passes? Hapo ndio Pep anapoCapitalize, No wonder why klopp anaenda kwa RaphinhaView attachment 2050287

Kigogo huwa anamwita Pep Professor Kipara lakini huyu Pep anastahili kupewa Phd ya heshima.

Na naamini Kipara pale juu hachomoki tena.
 
Adjustments.jpg
 
ingetumika var vzuri ...

Kane angekula red card ...

Goli la pili la robbo lingekataliwa ,Salah alishika mpira ...

Foul ya jota ingekuwa penalty .....

Robbo angepata red card kama alivopata ...

Game ilikuwa na pressure mno referee kajitahidi ....

Spurs kunakitua wanakitaka ,wanataka top 4 ....

Kumbe wakati mwengine unakuwa na points kali sana
 
@Captain Marvelous mwamba niajeeeeeee!
Duuh umerejea at last ndugu aisee...

Habari za siku tele...

Sijambo sana kaka kwa baraka tosha za Allah...

Karibuni tena jamvini tupo na Liverpool yetu tunajikongoja kumfukuza kipara..

Hatimae Mikel naona anaeleweka zaidi na vijana.. Martineli bonge la talent hopefully majeruhi yatampita mbali sanaaa....

YNWA
 
Nasubiri tuendelee na nondo mkuu
 
Duuh umerejea at last ndugu aisee...

Habari za siku tele...

Sijambo sana kaka kwa baraka tosha za Allah...

Karibuni tena jamvini tupo na Liverpool yetu tunajikongoja kumfukuza kipara..

Hatimae Mikel naona anaeleweka zaidi na vijana.. Martineli bonge la talent hopefully majeruhi yatampita mbali sanaaa....

YNWA
Kaka harakati tu za maisha ila tupo tunapambana,

Yaaaah na ni vema zaidi akikimbizwa kwa faida

kwa upande wetu bado ni mchakato unaendelea ,project ya mikel inaonesha itawapa watu tabu sana humu ikikamilika maana sasa ndio kwanza ipo 49%
 
Ila Mikel amefanya clean ya nguvu sana pale kwa haraka haraka ni ngumu kuelewa kazi yake..

Kwanza kuwaodoa Ozil, Willian, Luiz, Matto Geunduzi, Mustafi, na yule sijui Papa nani, na yule Mchile mfupii hakika Mikel amesafisha makosa ya ma kocha waliomtangulia na mdogo mdogo anaeleweka na pazuri naona anapewa muda kabisa mipango yake itimie... Nawatakie kila la kheri mrejee kupambania big 4 na baada ya hapo ubingwa. Japo ni hatua lakini yote yanawezekana kabisaaa...

Bwana wee kumkimbiza Kipara hua sio kazi rahisi haha huchelewi kuona hapa mpaka March hajapoteza hata mechi moja. Yaaani jamaa ana demand performance ya juu sana jana tu wameshinda nne na hajaridhika kabisa na yale matokeo anasema ilitakiwa bora zaidi ya vile yaaani noma sanaaaa....

Tunae kwa kweli hopefully wenye corona wata recover mapema miasha yaedelee aisee..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom