Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeweka pesa yangu kwa ajili ya christmas nataka 3+ tu.....

YNWA......
SASA SIO MTEMBEE NA PESA YANGU.
 
Nyie bado ni matakataka tu hata Kama munashinda lakini Nina hakika sisi bado tutamaliza ligi juu yenu ..apo kwenye kubeba ubingwa nilijipa uhakika Ila saivi mmmh mambo magumu aise ..lakini sisi bado ni mabingwa bana ngoja tuwape wape eya taimu kidogo muruke ruke ili angalau musikose hata top four ..wakati mabingwa wapya tunatawazwa hapo May.

In God We Trust. Unajua sisi Chelsea ni Watoto Wa Mungu ivyo tunatingishwa kidogo ili kupimwa Imani yetu lakini ilishatabiriwa kitambo kinyama kuwa Bingwa "atatoka upande wa kaskazini"

Hivyo nyie endeleeni kuamini kwamba muña timu ya kubeba ubingwa hamujui kwamba mpira ni sayansi.

#CFC
Wewe dgo nenda kajichue
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom