Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Tunaongoza ligi hahaha Ollachuga Oc na vijana wake upo uwezekano wakasahau kukaa pale juu tenaaaaa....

Origi the man for the big moments.

Tukumbushane matokeo ya leo
Chelsea 2.. Westham 3
Liverpool 1.. Wolverhampton 0

YNWA
Nyie mmeshawahi kukaa hapo juu mpaka mzunguko wa kwanza unaisha na hamkubeba ubingwa.

Msijisahaulishe.
 
Nyie mmeshawahi kukaa hapo juu mpaka mzunguko wa kwanza unaisha na hamkubeba ubingwa.

Msijisahaulishe.
Tugange yajayo ndugu yaliyopita yaache huko huko haisaidii kusema leo ulianza ligi ukiwa kileleni lakini mpaka Pep anamalizana na Claudio kuna uwezekano ukawa nafasi ya 3.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom