Salah alivyoipokea pasi ya vvd....na kusonga mbele na kutoa assist...aisee...AHSANTE ONYANGO
Hey baby
Hey love
Hello sweetheartHey baby
Hey love
Ishu siyo kuongoza ishu NI kwamba TINAKUJA MDOGOMDOGO HATUA KWA HATUAhaya naona bado mnaongoza
Ollachuga Oc atakua sijui kajificha chaka lipi aisee...
Hii ligi haitaki maneno mengi ni simple lets the results speak
YNWA
Ligi bado sana Mkuu. Ni 3 horse race kati ya Liverpool, Manchester City na Chelsea.Sijui bado watakuwa na moyo kwamba wanachukua ubingwa?
Maana walikuwa wanaongozA ligi ukiwaambia nyinyi hamchukui hawakuelewi.
Walianza ligi kwa mbwembwe kuna kipindi walituacha points 4. Wakajiona wameshachukua ubingwa. Sasa hivi tumewaacha point 1.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini chelsea itachukua ubingwa.
Mauaji ya Kimbari 🤣
Huyu jamaa sio kwa ma goli haya aisee yaani wakati wengine wote wamechemka anaibuka na kuokoa jahazi..Only Origi God of football
Ligi bado sana Mkuu. Ni 3 horse race kati ya Liverpool, Manchester City na Chelsea.
Usiemtaka sasa kakaa pale kileleni yaaani sasa ni game management ya hali ya juu maana huyu kipara hachelewi kushinda mechi 20 zijazo haha...
Fomu yetu kuanzia January 2022 ita determine tutakapomaliza msimu huu.
YNWA
Na nyie bdo mpo kileleni?haya ooooh tunaongoza ligi. Kiko wapi?
Sisi huwa hatuna mbwembwe kama hao chelsea kwanza hata huwa tukifungwa tuna maintain temper sasa ingia kwenye uzi wa chelsea kuleNa nyie bdo mpo kileleni?



, lawama sio kwa mendy mara chilwel mara ng'olo kante majeruhi mara wanataka kumfukuza TT wamlete Sosha aliye toka man u 



Sisi huwa hatuna mbwembwe kama hao chelsea kwanza hata huwa tukifungwa tuna maintain temper sasa ingia kwenye uzi wa chelsea kule, lawama sio kwa mendy mara chilwel mara ng'olo kante majeruhi mara wanataka kumfukuza TT wamlete Sosha aliye toka man u
![]()

Me tooSijui bado watakuwa na moyo kwamba wanachukua ubingwa?
Maana walikuwa wanaongozA ligi ukiwaambia nyinyi hamchukui hawakuelewi.
Walianza ligi kwa mbwembwe kuna kipindi walituacha points 4. Wakajiona wameshachukua ubingwa. Sasa hivi tumewaacha point 1.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini chelsea itachukua ubingwa.
Must be a lazy pundit, i think alikuwa anajaribu kuonesha ufanano wa Jota na Chicharito katika suala nzima la kuwa ruthless kwenye box kwasababu ya timing & quick reading of the ball movement but then alitakiwa kuangalia all-round play ya Jota & Chicharito, ni 2 different players.Kuna pundit bongo nimemsikia anamweka Jota na Chicharito in same bracket, does it sit right?
Imekuwa muda mrefu sana brother.The Mosdefs.
Thank you.