42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
haya naona bado mnaongozaUnateseka ukiwa wapi mkuu?
haya naona bado mnaongozaUnateseka ukiwa wapi mkuu?
Tuzidi kuwakumbusha kwa pamoja.Me siyo liver....
Acha uchawi Kaka
yes... uko sawa...
Sawa bhana naona na nyinyi mmeshangilia kuongoza ligi kwa dakika kadhaa saiv man city yupo kileleni.Mkuu swala la kuongoza ligi sisi sio washamba wakuongoza ligi ila tunaongea kuwakejeli chelsea maana wao kuongoza ligi wanaona kama Bahati,walikuwa wanapiga kelele humu tunaongoza ligi.
Mfano Arsenal akiongoza ligi watakuja kusema hapa kwamba wanaongozA ligi.
Kuongoza ligi sio muhimu sana maana hata Man U alishaongoza ligi saizi yuko wapi?
Sawa bhana naona na nyinyi mmeshangilia kuongoza ligi kwa dakika kadhaa saiv man city yupo kileleni.
Tulia wewe umesha batizwa hautakiwi kuingia huku.Nyie mmeshawahi kukaa hapo juu mpaka mzunguko wa kwanza unaisha na hamkubeba ubingwa.
Msijisahaulishe.
haya ooooh tunaongoza ligi. Kiko wapi?Tulia wewe umesha batizwa hautakiwi kuingia huku.
Only Origi God of footballMane cant score
Salah can't score
Jota can't score
TAA cant score
Robertson can't score
Who will score we need a scorer now now
YNWA
Not with Origi my brotherTusubiri game nyingine tu hamna namna leo ndio imeisha hivyo.
Hey babyMko wapiiii[emoji91][emoji91][emoji91]
Tumeshinda huku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
YNWA.
Ule mzuka wangu kwenye kushangilia goli[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Origiiiiiiiiii the team saviour[emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]