Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Jota atatuokoa
No Firmino no problem we got Jota...

Jota pale ni nyumbani kwake hivyo atacheza kama yupo kwao vile haha..

Baunsa Traore kiwango kimeanza rejea nadhani anafanya display ya kutafuta mauzo January...

Rekodi yetu ugenini ndio bora kabisa kuzidi timu zote hivyo tuna probability kubwa ya kushinda...

Wachezaji wetu viwango vimeanza kurejea na mechi sasa zinakuja kwa wingi hivyo ni jambo njema sana...

YNWA
 
Nimepata nguvu ya kuangalia mechi kesho.
 
Nyie matakataka munasemaje? Na nyie munataka kuongoza ligi Kama Chelsea? Muna uwezo uo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom