Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikubwa Liverpool tunangooza kuwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji goli 35 si haba...
Salah 11
Mane 7
Jota 5
Firminho 4
Goli 35 umefungwa 11. Mechi 12.
Chelsea 30. Amefungwa 4. Mechi 12.

Kati ya hizi timu mbili nani ana ukuta wa babeli?
Naamini kabisa washambuliaji wetu wangekuwa wazuri kwenye finishing tungekuwa na magoli mengi sana.
Screenshot_20211122-171142_Goal%20Live.jpg
 
Mikel atakuja kua bonge la kocha ila kwa sasa awaheshimu wanaojua kwa kweli...

Klopp, Thomas, Pep ni level zingine hivyo asitake kutupanda kichwani tena nyumbani...

YNWA
Arteta baada ya kushinda mechi tano mfululizo ameona kapatia maisha sasa anaanza kuvimba kichwa. Adabu mliyomtia ni funzo kwake kuwa bado ni yang kwenye ukocha.;
 
Goli 35 umefungwa 11. Mechi 12.
Chelsea 30. Amefungwa 4. Mechi 12.

Kati ya hizi timu mbili nani ana ukuta wa babeli?
Naamini kabisa washambuliaji wetu wangekuwa wazuri kwenye finishing tungekuwa na magoli mengi sana. View attachment 2019896

Na kati ya timu hizo mbili ipi inasafu ya ushambuliaji hatari sana?

Mwenye magoli mengi hapo chelsea anagoli ngapi?

Liverpool kila mechi anauwakika wakufunga goli 2 na kuendelea hazipungio hapo.

Baada ya mechi 19 ndio tutalinganisha vizuri maana itakuwa kila timu walishacheza nazo.
 
Arteta baada ya kushinda mechi tano mfululizo ameona kapatia maisha sasa anaanza kuvimba kichwa. Adabu mliyomtia ni funzo kwake kuwa bado ni yang kwenye ukocha.;
Kimsimgi lile tukio lilitu favor zaidi kuliko wao... Huwezi ku behave vile pale Anfield ukatoka salama ndugu lazima uombe po huku aibu kama zote aisee...

Hawa ma amateur managers akina Lampard, Arteta nk wanasafari ndefu sana kwenye hii tansania...

YNWA
 
Made me wonder how Henderson got that contract extension out of the blue from searching for Gini heir to giving Henderson new cool pay contract was just the last news i needed to hear but that was that boy played his cards really well and now we are stuck with dumb old dude as the CP till time in memorial...

Klopp at times seems like he is tired of this FSG set up of recruitment its like he got tired of trying going head to head with this yankees maana how do expect trophies with such a dilapidated squad lacking quality depth in all positions when needed, we quantity over quality.. Just to look at the position we are now is job well done by the gaffer and his fellow coaches, the boys, the fans for their support..

Lack of quality depth has prevented Klopp being a serial winner its a shame man been here for 6 years and yet we can only boast of winning EPL once in that period just imagine he was properly supported in the market am positive history would be saying otherwise, when watch our competitors window after window making marquee signings you just watch in awe saying wish FSG could surprise us kumbe its just pipe dream..

Bissouma soon will be out of our reach as many top teams are taking notes and that kid is Klopp moulded player just a few training season n he would have assisted our poor MF in the current state, we have seen teams now are learning how finish us overlapping our clueless MF and crowding our defence with long balls many bodies and beating the offside trap since 4 3 3 demands our defense is almost at the centre of the pitch when we are attacking this gives the other team proper avenue to hurt us of they pass the ball properly Vs Brentford, vs Brighton, vs Westham is very good examples how weak we are if we lose the ball with Trent and Robertson already in attack,.. Zamani Gini was really good with the set up holding up the ball until a proper opening was available ndio ange release mpira sasa hatuna a real baller who can coordinate proper tempo when to move with speed or when to cool down and spread the ball awaiting a chance to attack, Thiago and Keita are good in this but muda mwingi ni wagonjwa meaning Klopp has to call Ox who seem like playing knowing his days are numbered...

Neahaus and Bissouma for £70m was one cool deal, Klopp would have been sorted... Both boys can link up play with the defence and front boys without losing the ball in deadly situations pia angeisaidia sana front boys not to drop much attracting the opponent to come to us full throttle...
The left side zamani was occupied by Mane Gini Robertson VVD man whats a combination no easy let up maan wote ni boys with co head and they played in units rarely you could see Mane dropping like he is now and even Fabinho job was done with complete confidence that he has comrade to call upon but now its the opposite of whats Klopp demands sometimes you see Klopp just not believing what's he is seeing when we are under attack..

Haya mambo yanatia sana hasira tumejaza wazee na ma pancha pale kati yaani we are doomed last season ilikua defence now ni MFs good thing tu naelekea January dirisha la usajili ila sasa kama kawaida ya FSG ni sell to buy khaa, ni kweli they have to watch wage structure so they dont go bust like Barcelona lakini hawa jamaa wamezidi sana.. Naona TV rights za USA will come with lots of dollars in billions lakini utasikia wanaongeza capacity ya Anfield yaaaani bure kabisa hawa jamaa. Wao pesa kushiriki UCL naona kwao ni muhimu kuliko makombe, i thought after they tasted chums za EPL Trophy na other trophies we won sasa watakua wanam back Klopp sokoni in full throttle kumbe ni business as usual..

Something tells me Salah will be sacrificed if they can a proper offer ili wapate ela kununua probably Raphinah wa Leeds na Sarr wa Watford. Am positive if PSG, Real Madrid or Catalans come loaded with £70+ definitely Salah will be sacrificed... Good thing nadhani baada ya Salah kuona yanayomkuta Surez akasema angependa aedelee kubakia Liverpool for many years to come meaning the ball is in FSG court to give the deserved rise and proper contract..

Muda utasema japo dalili sio powa sana kikosi kinazeeka kwa kasi ya ajabu without proper recruitment from the owners..

YNWA
Mane is in his last 18 months of his contract pia, Same to Firmino, and Salah with just over 18 months of his contract

So, in short our generational front three wamebakiza msimu mmoja tu na sisi baada ya huu kuisha, na hakuna new talks kuhusiana na new deals, hii ingekuwa ni case tofauti kama tungekuwa na new owners, but kwa jinsi ilivyo its between Mane, Salah, Firmino, i dont think Firmino will generate good money kama akiuzwa, so that means ni kati ya Salah na Mane, mmojawapo hapo lazima auzwe ili kupata budget ya usajili, wakati ilikuwa inatakiwa tuwape new contracts hawa na ku-sign understudies, Mane & Salah are just 29 they are far from finished na wote ni injury free players with good fitness status, we cant sell them, hiki kisingizio cha miaka ni ujinga sana, tuna owners wa ajabu sana, Ronaldo still scoring goals kwenye PL and CL at 36, Thiago Silva still defending kwenye highest level katika PL at 37, look at Antonio now he's 31, Jimenez 30 and wapo kwenye good form, but FSG wanaaminisha mashabiki kuwa Mane & Salah will turn to be shit wakiwa na miaka 30, and ironically we have a 34 year old Milner still performing as a LCM and makeshift RB, and just issued a four year deal to a 31 year old injury prone Henderson, sijui kwanini fans wanashindwa ku-open macho yao.

Juzi, zimetoka articles kuwa Mane anataka mkataba sawa na atakaopewa Salah, this is nonsense, Mane's camp haiwezi kujua Salah ana-demand mshahara wa kiasi gani, na huwezi kuingia kwenye negotiation table kwa kutegemea tetesi za kwenye magazeti, Salah hajapewa mkataba mpaka sasa inakuwaje Mane atake mkataba kama wa Salah? hii yote ni kutaka kufanya Mane aonekane Villain, na kwa bahati mbaya he's black and African, so kwa yale yote aliyoyafanya LFC hawezi kuwa valued kama Henderson, so scousers hawatakuwa na tatizo kwa Mane kuondoka because nishaanza kuona wanamuita greedy, haya maneno hayakuwepo wakati Henderson alikuwa anadai mkataba kupitia medias.

FSG wanakaribia kununua a hockey league team kwa £600m, hizi ni pesa wanazozipata kupitia kwa revenues za LFC, team ya red sox haiwezi kugenerate revenues kubwa kama LFC kwasababu haina global support, LFC ni kama global company, revenues zake zinatoka kila pande ya dunia, achilia mbali Tv rights, CLs, Merchandises etc, but wananyonya hela kutoka kwenye club na ku-expand empire yao, well ni haki yao kwasababu ni owners but kitu gani wanachokirudisha LFC? imepita miaka mingapi tangu tufanye a "wow" signing? zaidi ya ile ya Thiago ambaye alikuwa kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake, juzi kwenye bench letu dhidi ya Arsenal kulikuwa na 4 academy players (Tyler, Beck, Gordon, Bradley), FOUR ACADEMY PLAYERS, hii ni team ambayo ilikuwa on top of the world few years ago, sasa imagine our bench January akina Salah, Mane, Keita wakiondoka? hapo tuombee kusiwe na injuries kwa Thiago & Henderson, na tuombee Firmino awe amerudi, na most of all tuombee Jota asipate injury kabisa, na zaidi kuombea Origi na Minamino wastep up maana hatuna cover nyingine zaidi yao, you got to feel sorry for Klopp.
 
Tiring being told owners will only bankroll development section but for buying players and wages has to be paid for whats the club is generating...now you wonder in this tiring covid era how the club was survive without a shot in the arm by the owners...

No wonder we challenge most then winning most trophies and the guys are super cool...

If only Klopp had half Contes audacity towards FSG then he either could have won 3 or more EPL trophies or he was fired long time ago...

Challenging for top honours with 2m transfer budget is joke of the century man...

YNWA
Michael Edwards kakimbia purukushani za FSG.

Unajua proper reds wako na upofu mkubwa sana kuhusu FSG, wamefanikiwa sawa kuwa-brainwash sana, so kila kinachoenda mrama wanaokuwa blamed ni wengine na siyo FSG.

hii team iki-collapse atakayepewa lawama zote ni Klopp na siyo FSG, suala la uhaba wa signings anapewa lawama Edwards kwa kigezo cha kushindwa kuwauza Origi, Minamino, Philips etc ili kupata funds za MF na attacker, sasa unamwambia Edwards amuuze Origi kwa 25m, last season Origi alicheza games chache sana, nadhani alikuwa na goals chache sana, sasa utamuuzaje kwa 25m, na hata kama angepatikana buyers kwa bei ya chini (Brighton, West Ham, Wolves wote walikuwa interested), Origi mwenye alikuwa hataki kuondoka, hata kwa Shaqiri bila yeye mwenyewe kuforce ile deal angekuwepo mpaka leo LFC, FSG wanted 11m for him, na hakuna club iliyofika huko, ni OM tu ndiyo walikuwa na concrete interest na offer yao ilikuwa 4m + add-ons, na offer yao ilikuwa right maana Shaqiri was just like a nobody katika msimu wake wa mwisho at LFC, games alizocheza zote zinahesabika, sasa nakumbuka proper reds walimsema sana Edwards kwa kukubali hii deal, but wanasahu kuwa we had to sell him na Grujic kwa bei yeyote ile, ili kucover installments za Konate, na sababu ya kushindwa kununua Gini replacement ni kwasababu ya kushindwa kuwauza Kina Origi, na ile sale ya Shaqiri inaonekana kichekesho mpaka sasa, Firmino is injured na AFCON inakuja, Shaqiri angesaidia sana now, but we had to sell him ili kubalance books.

Na hawa fans wanaotetea FSG, watarudi kwenye reality siku Klopp akiondoka LFC, hakuna manager anaweza kufanya kazi chini ya sera za FSG na akafanikiwa, Klopp is a genius, but inaumiza kwani LFC ilitakiwa iwe mbali sana kuliko hapa kama angekuwa backed, na ni kocha ambaye huwa ha-demand purchases za 100m etc, Tuchel kaenda chelsea kapewa kina Lukaku kwasababu owner anaamini katika power ya kum-back manager, well in his first year Klopp akiwa LFC he had to sell few players to generate pesa za kuwanunua Mane, Gini & Grujic.

Its laughable.
 
Sure its laughable having a world class manager whom they treat as if we aiming for top four finish only,.. The owners behave as if we are languishing huko nafasi ya 8 like we can't attract top talent thus we have to wait turudi top 4 ndio waanze ku invest.. Poor mentality maana Klopp has built this squad gradually from a selling top players club to retaining top performers year in year out...

FSG have a very different view of how to maintain competitiveness winning major honours on yearly basis, wao wanaridhika na kumaliza nafasi ya nne..

They have a very good influencers kwenye mitadao painting a very daring picture how good their mode of operating this club is the best way(sell to buy) .. Kumbe its the opposite maana Klopp wont demand Messi signing he just want quality depth and balance in the squad, players to call upon when chance arrives sio playing akina Hendo na Fabinho markshift CBs anb expect results za ushindi continously yaaani hio haipo kabisaaaaa.. No matter how good is Klopp he has limitations due to lack of proper bench tazama our main competitor Manchester City pale mbele wapo so loaded kuna Sterling, Jesus, Foden, Mahrez, Grealish, Silva na Kevin all of whom are capable of delivering when given the chance sasa njoo kwa Klopp ndio michosho tuna Jota, Firmino, Salah, Mane ambao ndio wenye uhakika angalau ya kupambana kupata ushindi. Very shallow squad and guys are all but cool.

Shaqir after discussing his role with Klopp aliona ni best way ni kuodoka akakipige kwingine and he forced the move, good for him.

Maskini Grujic aliuzwa bila kupata nafasi ya kutosha kuji express kwa dimba and now Porto are reaping the benefits...

Top Reds hawa hawa ndio waliwachejia FSG kwenye ishu ya Super League mpaka wakapasuka...

Klopp akipata bad results hao hao ma real Reds wataanza kusema Steve G anatoshaa.

To cut the short we have owners wenye mpira wa theory ama play station who are so so so lucky kua na Klopp

YNWA
 
Mane is in his last 18 months of his contract pia, Same to Firmino, and Salah with just over 18 months of his contract

So, in short our generational front three wamebakiza msimu mmoja tu na sisi baada ya huu kuisha, na hakuna new talks kuhusiana na new deals, hii ingekuwa ni case tofauti kama tungekuwa na new owners, but kwa jinsi ilivyo its between Mane, Salah, Firmino, i dont think Firmino will generate good money kama akiuzwa, so that means ni kati ya Salah na Mane, mmojawapo hapo lazima auzwe ili kupata budget ya usajili, wakati ilikuwa inatakiwa tuwape new contracts hawa na ku-sign understudies, Mane & Salah are just 29 they are far from finished na wote ni injury free players with good fitness status, we cant sell them, hiki kisingizio cha miaka ni ujinga sana, tuna owners wa ajabu sana, Ronaldo still scoring goals kwenye PL and CL at 36, Thiago Silva still defending kwenye highest level katika PL at 37, look at Antonio now he's 31, Jimenez 30 and wapo kwenye good form, but FSG wanaaminisha mashabiki kuwa Mane & Salah will turn to be shit wakiwa na miaka 30, and ironically we have a 34 year old Milner still performing as a LCM and makeshift RB, and just issued a four year deal to a 31 year old injury prone Henderson, sijui kwanini fans wanashindwa ku-open macho yao.

Juzi, zimetoka articles kuwa Mane anataka mkataba sawa na atakaopewa Salah, this is nonsense, Mane's camp haiwezi kujua Salah ana-demand mshahara wa kiasi gani, na huwezi kuingia kwenye negotiation table kwa kutegemea tetesi za kwenye magazeti, Salah hajapewa mkataba mpaka sasa inakuwaje Mane atake mkataba kama wa Salah? hii yote ni kutaka kufanya Mane aonekane Villain, na kwa bahati mbaya he's black and African, so kwa yale yote aliyoyafanya LFC hawezi kuwa valued kama Henderson, so scousers hawatakuwa na tatizo kwa Mane kuondoka because nishaanza kuona wanamuita greedy, haya maneno hayakuwepo wakati Henderson alikuwa anadai mkataba kupitia medias.

FSG wanakaribia kununua a hockey league team kwa £600m, hizi ni pesa wanazozipata kupitia kwa revenues za LFC, team ya red sox haiwezi kugenerate revenues kubwa kama LFC kwasababu haina global support, LFC ni kama global company, revenues zake zinatoka kila pande ya dunia, achilia mbali Tv rights, CLs, Merchandises etc, but wananyonya hela kutoka kwenye club na ku-expand empire yao, well ni haki yao kwasababu ni owners but kitu gani wanachokirudisha LFC? imepita miaka mingapi tangu tufanye a "wow" signing? zaidi ya ile ya Thiago ambaye alikuwa kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake, juzi kwenye bench letu dhidi ya Arsenal kulikuwa na 4 academy players (Tyler, Beck, Gordon, Bradley), FOUR ACADEMY PLAYERS, hii ni team ambayo ilikuwa on top of the world few years ago, sasa imagine our bench January akina Salah, Mane, Keita wakiondoka? hapo tuombee kusiwe na injuries kwa Thiago & Henderson, na tuombee Firmino awe amerudi, na most of all tuombee Jota asipate injury kabisa, na zaidi kuombea Origi na Minamino wastep up maana hatuna cover nyingine zaidi yao, you got to feel sorry for Klopp.
The Yankees are cold blood suckers they thrive through Klopp global reach through his transformation from a mediocre team languishing hukooo nafasi ya 8 mpaka sasa tumekua serial contenders wa major honours all this is down to Klopp and his coaching team. This guys do very crucial job with the boys. Without Klopp we are back to 2010s era maana how deliver results with this mixed talents team is just wonderful...

As I have mentioned to FSG being Americans do know how to influence whats good for them through the modern ways employing LOBBYIST using the Internet through facebook, IG, main stream media pundits nk.. If sure they wonna picture Mane as the greedy villain then that how its will be and the fans will buy the stories even without credible source na chuki itaanzia pale..

Imagine Antony Martial pocket cool around £250 k per week and he rarely make the match day squad and even when he does you can't match the salary plus his output. Mane give his all for this team ni kweli kuna muda anapoteana lakini he is no machine up and downs will be there. Trying so hard to bring hate from the fans kisa tu he deserves better wages ni aibu ya karne.. Being black and African is no curse watupishe.. I have also maintained any player who will leave us for a better pay somewhere and much appreciation has my support maana mwisho wa siku hawa wachezaji ni professionals there are to work nothing more.. Salah and Mane unless wakose proper suitors na bei iwe mgogoro naamini kuna mmoja atauzwa ama wote kwa hawa FSG usije shangaa kabisaaa hili likitokea, this Yankees care most about revenues kuliko mengine mpaka sasa their empire inaongoza hockey team jamani tuna wamiliki wa ajabu sana kuwai kumiliki klabu kama hii EPL..

Scousers didn't mind Milner kupewa mkataba mpya wala hawaku mind Henderson kupewa mkataba mpya wote wakiwa over 30yrs lakini itakua nongwa kwa Mane and Salah kupewa mkataba yaaani hapa subiri kazi ianze naamini this guys has very well organised lobbyist to spread thier agendas and influence the fans perception kwenye mambo haya ya usajili yaaani subiri kama hujaona Mane wakimzomea hii dunia inatisha sana.

Players tena main hot players unawaacha wakiingia kwenye siku za mwishoni za mikataba wao ni bad deal unless there's something fishy being planned.. Hii cycle ya kuuza uza imefika tamati kwanza hakuna mchezaji anataka kuodoka Liverpool as long both the club and the player has a win win situation..

Gone are the days we had to sell our top best players kwa vile they couldn't challenge the major trophies wakiwa hapa Anfield sasa ni kila mwaka we are in the mix tena bila bench la uhakika.. FSG couldn't take advantage ya covid and fund Edwards anunue wachezaji wa maana zaidi ya kusubiri Edwards auze ndio anunue this is pathetic for global power House club like Liverpool. Our competitors are foking big chums whereas we just watch sasa haya mambo majibu yake ndio hio benchi kua na academy kids na bila aibu the guys want to buy hockey team duuh.. Bora Edwards anatimka zake kuliko cv yake ije iharabiwe na huu uozo wa FSG...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom