So called Group of Death imekua torn apart by Liverpool brilliance...
Aisee anayemfaham Ralph rangnick naona nyumbu wanamchukua awe interim manager wao..NI VEMA KUMJUA ADUI YAKO





Jamaa mkali sana ndio anasemwa kua mbinifu na mwanzilishi wa modern gengenpressing...Aisee anayemfaham Ralph rangnick naona nyumbu wanamchukua awe interim manager wao..NI VEMA KUMJUA ADUI YAKO
Aisee anayemfaham Ralph rangnick naona nyumbu wanamchukua awe interim manager wao..NI VEMA KUMJUA ADUI YAKO
Thanx mkuu![]()
Ralf Rangnick to Man Utd: How former Hoffenheim and RB Leipzig manager helped revolutionise German football
The story of how Ralf Rangnick, former Schalke, Hoffenheim and RB Leipzig boss, helped to revolutionise German football with a devotion to gegenpressing tactics; 63-year-old has been confirmed as Manchester Uniteds interim managerwww.skysports.com
YNWA
Mkuuu kwan man u mane yupo wana sancho wao we kula nyama mkuu na Pepsi baridiii nyumbu wana pressure sana wala watazingua tuJamaa mkali sana ndio anasemwa kua mbinifu na mwanzilishi wa modern gengenpressing...
Mane, Keita, Minamino, Halland nk ni uzao wake..
Kwa kifupi militamani sana Edwards aking'oka Anfield huyu mwamba atue nafasi hio na tungekua tumepaa parefu sanaaaa
YNWA
😂😂😂😂😂Ngoja tuone.Mkuuu kwan man u mane yupo wana sancho wao we kula nyama mkuu na Pepsi baridiii nyumbu wana pressure sana wala watazingua tu