MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Kwenye game yetu dhidi ya Atletico Madrid at LFC, nilikuwa nacheka the whole.game, scousers+proper reds were booing Luis Suarez Diaz.
Kitu kilichokuwa kinanichekesha ni sababu ya hizo boos, sababu ikiwa ni kuwa alishangilia goal against us wakati yupo Barcelona kwenye ile LFC semi-final ya 2019 at Camp Nou, i mean whats wrong with that? he just scored for his team at Camp Nou kwenye Semi-final ya CL infornt of thousands of cules, ni lazma ushindwe kuzuia emotion and excitiment, and besides theres nothing wrong with that, its just laughable.
Scousers+proper reds protected and defended when he racial abused Evra na kum-ng'ata Ivanovic, these were actually very terrible acts kwenye sport kuliko hata kushangilia goal, but they defended him mpaka mwisho, but they decided kuanza kumzomea baada tu ya kushangilia goal dhidi yetu, wamedraw the line kwenye kitu kidogo sana, scouusers na proper reds huwa wanachekesha sana, wana akili fupi sana.
I didnt support Suarez wakati wa his Evra & Ivanovic scandal, but sikuona sababu ya kuchukia alivyoshangilia against us, but LFC fanbase ina mitazamo ya ajabu sana, Suarez is one of most talented footballers kuwahi kuichezea LFC, he was so close ya kutupatia PL 2013, he gave one of the craziest seasons as LFC fans, but yeah, lets boo him because he celebrated for the club thats paying him millions.
Then, scousers+proper reds gave Lallana a standing ovation kwenye game ya Brighton, one of the worst LFC signings, Lallana anapewa standing ovation kwa kitu gani alichoifanyia LFC? his 3 months good form? you see hizi ndiyo standard za our fanbase, they love Lallana because he cried during his farewell interview, remember Club haikujisumbua hata kumpa Sturridge a farewell interview, mchezaji ambaye alikuwa na impact kubwa kuliko Lallana at LFC, but apparently Lallana is a hero at LFC, sentiments zilizopo LFC ndiyo zimefanya injury prone Hendo apate 150k contract at 31, sentiments ndiyo zimefanya tuone ni sawa kwa FSG kutom-back Klopp kama clubs zingine kubwa zinazofanya kwa Managers wao.