Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hello kops
Mimi binafsi nimeona niwe najitokeza kwenye ushindi mnono tu kwenye kichapo hamnioni bora nikanywe zangu stress ziishe ila kwa jana

Huyu Arleta ni kama alimpa hasira zaidi klopp..

Na kale kajamaa cha arsenal beki 3 kalichodai katamkaba MO nikaona kalichomesha 😀😀😀

Mambo ni vipi brothers?
 
Mikel atakuja kua bonge la kocha ila kwa sasa awaheshimu wanaojua kwa kweli...

Klopp, Thomas, Pep ni level zingine hivyo asitake kutupanda kichwani tena nyumbani...

YNWA
 
Kama asingejifanya kichwa ngumu huenda ingeisha hata draw ile ile.
Ila akaanza kuwapandishia kibezi kaka zake,
Ushindi mzuri sana kaka pale Angekuwepo pep angeendelea kumuadhibu Mwanafunzi wake mikel hata 6 jamaa hanaga huruma
 
Ile inaitwa blessing in disguise maana baada ya lile tukio vijana waliamua wamtete boss wao kwa matokeo yale na si kingine 😂😂😂hata mashabiki ni kama baada ya pale hawakua tena na kingine zaidi ya kuwapush wachezaji wafanya yao...

Kipara ni habari nyingine kabisa ndugu haha yule hata Carabao au FA hatanii anaweka full mziki na ana demand highest performance kwa kila mchezaji...

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom