Drogba kuchukua makombe mengi uingereza wakati Sarah anayo 1na hivi karibuni hamna uwezo wa kuchukua EPL Kwa sababu ni ya Chelsea
Duuh binafsi najali zaidi winning concrete performance on the pitch kuliko off the pitch yaaani Wingereza wakiamua lao hawashindwi...