John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Full Time West Ham United 3
Liverpool 4
What a came back. Sisi tunajua kikosi chetu bhana leo ushindi lazima. West ham wanatusumbua tu wanapokuja anfield ila kule kwao tunashinda kirahisi tu.
Mlicheka sana sare ya chelsea. Sasa sikui mtasemaje hata sare ninyi hamjaambulia.
Mkuu tatizo hizi kuku zinaamini kikosi Chao ni Bora kuliko. ..Sasa mbaya zaidi hawana hata sub za maana πππMkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.
Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.
Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.
Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni klop mwenyewe na mifumo yake, japo kuna maajabu goli la pili Ox anamsindikiza mtu kama mshenga vile badala acheze hata technical foulHiki kipigo ni proper wake up call kwa Klopp kuhusu pale kati yaani tunakua overran kirahisi sana...
Tuombe wachezaji wetu wanaokwenda mechi za kimataifa warudi wakiwa wazima kabisa..
YNWA
Tumecheza mechi ngumu mfululizo UCL na EPL almost kikosi kile kile hawa wachezaji sio ma robot kuna wear and tear na hii inachangiwa na ufinyu wa kikosi..
YNWA
West ham wako vizuri sana, nimewakubaliMkuu habari ya mda huu?
Yaaani ukiangalia benchi letu nani aingie alete idea mpya unachoka kabisa...
Pale kati pamekufa kabisaaaa...
YNWA