Unasema hivyo kwa kuwa amesifia timu yako.
Kiukweli Mkuu hamna mchezaji wakuwapa ubingwa wa pale Epl mpaka sasa,ni swala la muda tu utanielewa.
Utakataa kwakuwa unaongoza ligi kwa point 3 hizo.
Mngekuwa hamja fungwa mpaka saizi labda ningeogopa ila mmefungwa mmetoka draw.
Sema mashabiki wengi wenu bado hamfatilii mpira vizuri.
Yaani chelsea kuanzia leo mpaka ligi inaisha atakuwa yupo tu hapo juu ,kweli?
Ata ile invicible ya Arsenal haikuongoza ligi muda wote.
Me nimeanza kufatilia ligi ya Epl muda mrefu sana.hizo kelele kama za kwako tulishakutananazo sana kwa timu zingine na Man U msimu uliopita,lakini Man U waliishia wapi Msimu uliopita?