Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unasema hivyo kwa kuwa amesifia timu yako.

Kiukweli Mkuu hamna mchezaji wakuwapa ubingwa wa pale Epl mpaka sasa,ni swala la muda tu utanielewa.

Utakataa kwakuwa unaongoza ligi kwa point 3 hizo.

Mngekuwa hamja fungwa mpaka saizi labda ningeogopa ila mmefungwa mmetoka draw.

Sema mashabiki wengi wenu bado hamfatilii mpira vizuri.

Yaani chelsea kuanzia leo mpaka ligi inaisha atakuwa yupo tu hapo juu ,kweli?

Ata ile invicible ya Arsenal haikuongoza ligi muda wote.


Me nimeanza kufatilia ligi ya Epl muda mrefu sana.hizo kelele kama za kwako tulishakutananazo sana kwa timu zingine na Man U msimu uliopita,lakini Man U waliishia wapi Msimu uliopita?
Ona takataka hii. Eti hatuna mchezaji wa kutupa ubingwa???

Mchezaji kama nani kwa mfano?

Chelsea kila mtu anafunga...
Striker zote majeruhi lakini bado tunapeleka moto tu...
 
Mkuu mwaka jana unakumbuka everton na aston villa mechi 5 za mwanzo?

Walishinda mechi zote aston villa alikuwa hajarusu goli lolote,mlikuja hapa mkatuaminisha watachukua ligi me nikawapinga uzuri mkanielewa.

Everton Uliwatabiria watafanya vizuri chini ya Carlo,ligi imeisha wako nje ya top 10.


Msimu uliopita Walikuja Man U ukatuaminisha tena watachukua ubingwa lakini wakaangukia pua.


Kuna muda pia msimu huu kuna watu walisema Man U watachukua ubingwa lakini Saizi hawasemi tena maana Man U na Arsenal point sawa na Arsenal na wao arsenal wataanza kusema tunachukua ubingwa.


Kwa mtazamo wangu ni sisi na man city tukiongoza ligi tunakuwa bado hatuamini kama tutachukua ubingwa mpaka mwisho wa ligi au gap la point liwe kuanzia point 15 huko na kuendelea,tofauti na hapo hakunaga kelele kwamba ubingwa wa kwetu Safari hii.

Timu zingine zikiwa hapo juu kelele zinakuwA nyingi sana kulazimisha kwamba tuwaamini wao ndio mabingwa wa msimu.sijajua kwanini iko hivyo hiyo.hizo kelele usije ukaziogopa misimu yote zipo hizo kelele hata msimu ujao pia zitakuwepo pia.


Kusema chelsea ni mabingwa msimu huu ni sawa kwa upande wako maana unaangalia upepo Uko wapi saizi,ila mambo yanakuwa yanabadilika especially kwenye Epl.

Kuna muda tena utafika utatuaminisha timu nyingi tena kwamba ndio watakuwa mabingwa.tutakubali pia maana tunaangalia upepo uko wapi Saizi.

Navyoona saizi upepo unavyoenda Arsenal na wenyewe wanakuja soon watatulazimisha tuamini wao watakuchua ubingwa ,kuanzia wafungwe zile goli tano na man city hawajafungwa tena mpaka leo hii


Kwa upande wangu me simpi nafasi chelsea ya kuchukua ubingwa kwasababu tu saizi anaongoza ligi .sijaanza kuifatilia leo Epl naijua vizuri sana.


Na sasa hivi wataendelea kuonekana maana walianza na mechi ngumu saizi naona wako na timu zinazoshika nafasi ya mwisho kwenye Epl.(norwich,Newcastle).
Huu mwezi wa 11 ukiisha bado chelsea anaongoza ligi mkatafute kazi nyingine ya kufanya...

Nawatahadharisha mapema.

Maana najua hamuamini
 
Mkuu kiukweli hamna wachezaji wakuwapa ubingwa pale Epl, ni swala la muda tu.

Saizi hautaelewa subiria ligi iishe ndio utaelewa,hawezi kuelewa saizi kwa sababu unaongoza ligi.

Na hutaki kusikia chochote zaizi ya kuambiwa unachukua ubingwa.
Wachezaji kama nani kwa mfano?

Pale kila muda mchezaji yoyote anatia goal...

Siyo kama Liver kuku eti salah asipofunga basi biashara lazima iwakate.
 
Tuache utan Chelsea ubingwa unawafata ....

Wengine tuliobaki city ,liverpool ,man utd tunautafuta ubingwa ....



Game ya liverpool vs Chelsea..

Game ya Brentford vs Chelsea ...

miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha kuwa ubingwa wa epl unaifuata Chelsea ,Wala Chelsea hatafuti ubingwa ....
Hahahah mtajua hamjui....
 
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?

Chelsea haiongozi kwenye magoli ya kufunga mkuu,yaani mlivyoshinda zile goli 7 na 3 hizo ndio unalazimisha kwamba mnaongonza goli za kufunga kweli?. Sasa ukaona utawadanganya watu huku.
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom