Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Labda January tena muwe na pumzi kweli kweli, ratiba yetu inaonyesha kuwa tutaendelea kuteremka
Mkuu lembu tunaamini tunapambana kushinda EPL na UCL hivyo tutakomaa mpaka dakika ya mwisho....

Haya ya January tuyaache kwanza tupambane kwa haya ya sasa kama tulivyosema mara kadhaa kila mmoja ashinde mechi zake...

Kwa Liverpool hii ilivyo moto naona tukitoka kifua mbele..

YNWA
 
Screenshot_20211025_105739_com.android.chrome_edit_58945485946213.jpg


YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom