Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

20211025_081554.jpg
 
Niko kwenye huu uzi almost everyday, jana was bittersweet to me, Simba na Liverpool.

Man, Salah is so so inspirational, his timely shooting and passing is invaluable.
Upo kimya sana bro. Ila nafurahi kama upo. Yeah Simba jana tumezingua sana kwakweli ila angalay tunapata faraja kwa Liverpool.

Mo is certainly the best in the world ATM hilo halina ubishi na it seems he's not going to stop here. Let's hope for the best.
 
Thanks so much bro, tuko pamoja sana kwenye hili gurudumu.

Ugomvi wangu mkubwa na Salah ilikuwa timing, kwamba muda gani a-shoot, a-dribble au a-pass. He is so timely these days kiasi kwamba unainjoi kumwona akifanya kazi yake.
 
Yeah ame improve kwenye mambo mengi. He's become more clinical. He leads the charts for big chances created, goals, conversion rate, shots, shots on target.

His numbers are mind blowing 🤯
 
Zilikuwa ni Propaganda za Malafyale tu zile kumlenga MosDef na wakosoaji wa Klopp kuhusu Henderson, Mignolet na Lovren kwani kwa wakati huo Lovren na Mignolet walikuwa Wachomeshaji wakubwa.
Lakini hakukuwa na KLOPP OUT.
Duuuh tumetoka mbali aisee..

Yaaani Lovren, Karius, Benteke nk sijui wakiangalia gemu zetu siku hizi hua wabajiona wenye bahati kubwa sana maana walikua trash players...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom