Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
Unakuwaga kama kipande cha tako hukubaligi ukweliLiverpool ni timu bora kwa sasa.
Ila mbele ya Chelsea ya TT kila goti litapigwa.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unakuwaga kama kipande cha tako hukubaligi ukweliLiverpool ni timu bora kwa sasa.
Ila mbele ya Chelsea ya TT kila goti litapigwa.
Ngoja tuone chalii sisi hatunaga kelele mingi. Muda utazungumza.Liverpool ni timu bora kwa sasa.
Ila mbele ya Chelsea ya TT kila goti litapigwa.
Absolutely monstrous 🤯🤯
I miss you more love,,
,how about you?Lukaku a.k.a Rukarukatu kafunga mangapi?Magoli mepesi sana haya. Hata Bahanuzi anafunga
Hongera sana tufurahie kwa pamoja 😂😂😂😂Kwema kabisa ndugu.
YNWA
Hizo kopa kama zote MADAME..kweli MAJOGOO umewapenda kwa dhati na siyo kwa CHATI..YNWALiverpool![]()
Unavuta bhang za wapi mkuu?Magoli mepesi sana haya. Hata Bahanuzi anafunga
TT atakata pumz hauta amin....ths is marathon..jombaaaLiverpool ni timu bora kwa sasa.
Ila mbele ya Chelsea ya TT kila goti litapigwa.
Captain vipi taarifa ya keita?
Mkuu mfumo wa Chelsea kila mchezaji ni mfungaji ivyo hakuna wa kumlisha Lukaku moja kwa moja. Sisi hatutegemei mchezaji mmoja tu kama nyie ..akikosekana salah tu mimi nina uhakika hii timu itafanya vibaya sana.Lukaku a.k.a Rukarukatu kafunga mangapi?
Hahahaha kwa Hiyo nyie ndio hamtakata moto siyo?? Nyie Novemba tu hapo mtaanza kutafuta hapa.TT atakata pumz hauta amin....ths is marathon..jombaaa
Mkuu mfumo wa Chelsea kila mchezaji ni mfungaji ivyo hakuna wa kumlisha Lukaku moja kwa moja. Sisi hatutegemei mchezaji mmoja tu kama nyie ..akikosekana salah tu mimi nina uhakika hii timu itafanya vibaya sana.

Mechi ya 7 mfululizo sasa lukaku hajafunga goli lolote![]()
Lukaku a.k.a Rukarukatu kafunga mangapi?
.Hahahaha kwa Hiyo nyie ndio hamtakata moto siyo?? Nyie Novemba tu hapo mtaanza kutafutana hapa.TT atakata pumz hauta amin....ths is marathon..jombaaa
Hata Salah angekuwa Chelsea asingetupia hivi kama leo ..tatizo ni mfumo tu wa timu. Lukaku ni anajua kuliko hata salah ila hajapata kocha wa kumpangia kikosi cha kumchezesha. TT bado ana struggle kupata mfumo wa kumchezesha The Great Lukaku.Mechi ya 7 mfululizo sasa lukaku hajafunga goli lolote![]()
Tangu nazaliwa nashabikia liverHizo kopa kama zote MADAME..kweli MAJOGOO umewapenda kwa dhati na siyo kwa CHATI..YNWA
HahahaMkuu mfumo wa Chelsea kila mchezaji ni mfungaji ivyo hakuna wa kumlisha Lukaku moja kwa moja. Sisi hatutegemei mchezaji mmoja tu kama nyie ..akikosekana salah tu mimi nina uhakika hii timu itafanya vibaya sana.