Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wallpaper yangu kwa wiki hii
Screenshot_20211025-020756_One%20UI%20Home.jpg
 
Kitu kimoja kilichosahaulika ni kwamba katika Michezo Miwili iliyopita pale OT tumefunga Magoli 9.

Mungu mpe maisha marefu Ole pale Manchester
Wewe mechi mbili unampiga goli Tisa wakati arsenal mechi moja tu alibatizwa bao 8.
 
Jambo pekee la kushukuru ni kwamba mulikutana na Liverpool kipindi ambacho bado haijachanganya speed. Olewenu mungekutana nayo kipindi hichi maji mungeita mma.
Na sisi tukisema hivo hivo tutakuwa tunakosea? Maana tulicheza dakika 45 tukiwa pungufu na bado mkaambulia point moja tena kibao cha zawadi penati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom