Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila nikikaaa napata wasiwasi hapo mbeleni kila ninapoikumbuka AFCON.

Tutamkosa SALAH na MANE.

Huenda kikawa kipindi kigumu sana kwetu
January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.

Na pia tarehe 27 December ndio siku team za AFCON zitatangaza vikosi vyao rasmi (majina ya walioitwa) hiyo ni wazi watacheza game ya boxing day vs Leeds.

Pia kuna tetesi kuwa LFC wataongea na football associations za Misri Guinea na Senegal wawaruhusu wacheze kwanza game ya Chelsea tarehe 2 January maana AFCON inaanza tarehe 9 January na final yake ni 7 February.

Hapo January pia kuna rounds mbili za FA cup zinachezwa na pia nusu fainali ya Carabao cup. Hizi mechi tunajua hata wakiwepo wangeweza kupumzishwa.

So game mbili tu za muhimu ndio wanaweza kuzikosa za Brentford tarehe 15 na Palace tarehe 22 January.

Game ya Leicester ya tarehe 9 February itategemea na team zao zitakuwa zimefikia hatua gani huko AFCON so kama kuna ambae atakuwa amecheza fainali lazima atai miss hiyo maana ipo siku mbili baada ya fainal.
 
Hapo Afcon ndio sitaki hata kupawaza maana pale mbele itakua ni Jota, Bobby, Taikumi huku sub ni Origi na Chamberlain. Kwa kuombea kusiwe na majeruhi kwa hao watakaobaki...

YNWA

Solutuon ni kuwa Egypt na Senegal zitolewe hatua ya Makundi tu lakini ukweli ni kwamba kwa Egypt haitowezekana.
 
January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.

Na pia tarehe 27 December ndio siku team za AFCON zitatangaza vikosi vyao rasmi (majina ya walioitwa) hiyo ni wazi watacheza game ya boxing day vs Leeds.

Pia kuna tetesi kuwa LFC wataongea na football associations za Misri Guinea na Senegal wawaruhusu wacheze kwanza game ya Chelsea tarehe 2 January maana AFCON inaanza tarehe 9 January na final yake ni 7 February.

Hapo January pia kuna rounds mbili za FA cup zinachezwa na pia nusu fainali ya Carabao cup. Hizi mechi tunajua hata wakiwepo wangeweza kupumzishwa.

So game mbili tu za muhimu ndio wanaweza kuzikosa za Brentford tarehe 15 na Palace tarehe 22 January.

Game ya Leicester ya tarehe 9 February itategemea na team zao zitakuwa zimefikia hatua gani huko AFCON so kama kuna ambae atakuwa amecheza fainali lazima atai miss hiyo maana ipo siku mbili baada ya fainal.

Dah! Hii angalau inanipa matumaini
 
Hii mbanga sijui inatumia kilevi gani....liver inategemeà Salah...tu?...angalia numbers za salah jota firmino na mane....

Ulinganishe na papatu papatua yenu...kazi kupaki bus hata mpira unakua hauvutii kuangalia
Cheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili. Mimi nimesema mfumo wa Chelsea hautegemei mtu mmoja tu Kama nyie kuku ambapo Salah asipocheza hakika mtatafuta pa kutokea
Huyu Salah tunamla msimu huu tu ..msimu ujao pandisheni Origi mapema.
 
Kila nikikaaa napata wasiwasi hapo mbeleni kila ninapoikumbuka AFCON.

Tutamkosa SALAH na MANE.

Huenda kikawa kipindi kigumu sana kwetu
Huu ndio ujinga wa kutegemea wachezaji wawili au watatu ndio wabadili matokeo.
Nyie kweli matakataka
 
Wewe ndo ulisema anakuja kua tishio epl...
Mkuu kwa Sasa Nani hayiogopi Chelsea? Kuwa Malini unapokutana na mocha mwenye mbinu nyingi. Ukimkaba Salaha asifunge Nani atafunga Tena? Mane ni takataka kwa Sasa, firmino ndio mzigo kabisa. Nani mwingine wa kufunga?! Origi??!
 
SimTank alibahatika Magoli ya Mdondo kwenye mechi 2 za kwanza wakaona ni bonge la Striker kumbe ni Mugalu aliyenenepa tu.
Sikiliza wewe ..sisi hatutegemei ushindi wa mtu ndio afunge mshinde. Angalia timu inayoongoza kwa first 11 yote kufunga.

Mpaka Sasa tuna wachezaji 19 wenye magoli EPL na Ulaya kwa ujumla ..wewe takataka utatuambia nini? Asipofunga Salha sijui Salaha ..atafunga Nani? Ukiondoa hatrick ya uyo mwarabu mfano manure wangekaza angalau wapate goli mbili game ingeisha 2-2 ..lakini nyie hamuoni Hilo, angalia Barca wanavyostruggle saivi maana mtu Kama Messi mwenye uwezo wa kubadili matokeo hayupo. Siku Salaa asipokuwepo ndio mtajua kuwa hamjui.
CFC💙💙💙
 
Keita jana kaupiga mwingi sana aisee aliye muumiza alaaniwe.
Watu walikuwa wanamsema sana huyo bwana mdogo! Jana kapiga mpira mkubwa sana! Kuna watu pia walikuwa wanamsemasema Firminho! Lakini sasa hivi yuko fire hatari sana! Jana katoa mapande ya hatari kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom