GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Pale sasahivi panaitwa Old Trashford...Tukipata Pointi 3 kutoka Manchester United Trafford hua ni tamu kuliko uwanja wowote ule yaaaani....
Hii leo ni murwa sanaaaaaaa tupo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
YNWA
Pale sasahivi panaitwa Old Trashford...Tukipata Pointi 3 kutoka Manchester United Trafford hua ni tamu kuliko uwanja wowote ule yaaaani....
Hii leo ni murwa sanaaaaaaa tupo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
YNWA
Hawa walikuwa wepesi sana chalii. Tumewanywa kama mtori yani hatuna pupa maana tunajua finyango ziko danta.Nyie mumewafunga wavimba macho ngoja mukutane na wanaume wa shoka.
😂😂😂😂😂Kawaida Mkuu...Mimi nawaangaliaga hapa hata siwaelewagi kuna kipindi unakuwa pissed mpaka hutaki hata kupitia uzi maana it's full of negative stuff.
Watu hawana patience kabisa.
Magoli mepesi sana haya. Hata Bahanuzi anafunga
Afadhali leo hujavuta kitu cha chuga... Umetambua Liverpool n timu bora. Yes here we go...Liverpool ni timu bora kwa sasa.
Ila mbele ya Chelsea ya TT kila goti litapigwa.



Umefufuka kumbe...Magoli mepesi sana haya. Hata Bahanuzi anafunga