Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Sio Klopp tu na Salah Out, Firmino Out, Mane Out...Hivi si kulikuwaga na kelele za Klopp out, ziliishiaga wapi?
Unajua mashabiki hua hatuna uvumilivu aisee yaaani haya ya leo yanaweza kusahaulika chap sana...
YNWA