Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuendelee kumlinganisha LUKAKU na SALAH au tuishie mechi hii
Lukaku ni striker tena wa box to box, Salah ni winga, wapi na wapi
Salah ni mzuri kwenye dribling, Lukaku hata kuutuliza mpira hawezi yeye ni kushuti tu na magoli yake yanapatikana hivyo na striker wengi pure namba 9 wako hivyo, hata Ronaldo Delima kapata umaarufu wa kufunga sana kwa staili hiyo hiyo ya Lukaku, anapikiwa yeye anafunga. Salah magoli yake anapika mwenyewe hasubiri ahudumuiwe kama Lukaku

Ni dhambi kubwa kumlinganisha Lukaku na Salah, labda tumlinganishe kwenye magoli na assists na anadhani Salah atawin, upepo mzuri uko kwake tangu atoke Chelsea
 
Hawa ndo wanaowapa vichwa madalali na kuwapoteza wachezaji akienda awe na mawili.
Kama ilivyo kwa kina Saurezi natumai tutaibua mwingine japo kuanza maisha mapya ni ngumu.
Wanasema adui yako mwombee njaa sasa usitegemee Gary aseme tofauti na haya.

Salah sio kinda japo alikua wazi kabisa kusema ni ndoto yake pia kupata changamoto mpya Spain kabla hajastaafu ana muda wa kufanya maamuzi sahihi kwa sababu mkataba wake mwisho 2023 hivyo ajitazame kuja kujengewa sanamu pale Anfield ama kwenda kuisaka Balon kule Spain..

YNWA
 
Umri ushamtupa naamini hiyo tano inatajwa tu ila lengo ni tatu kwa anacho fanya sasa atapata kingine aombe tim ipate mafanikio pia japo kwenye mafanikio ndo wanaibuka na kina Boby nao sijui itakuaje akiendeleza kufunga ha ha haaaa
Tuishi kwa sasa haya ya baadae tuyaache 😂😂😂😂 kwa sasa tupo vizuri wachezaji jana walikua na njaa ile mbaya kupambana sana yaaaaani mpaka Keita alifanya pressing za ukweli..

Wamempa miwili tena na option ya mmoja inatosha sana. Kwa ana 29.

Ishu kuu ni kwa bei za sasa wachezaji kum replace Salah in terms of goals na assist ni ngumu aje awe like for like labda aje Mbappe au Haaland.

Ngoja tuone.

YNWA
 
This season

Firmino - 6 goals in 7 games
Mane - 6 goals in 10 games
Salah - 10 goals in 10 games

Liverpool’s front 3 in the Premier League:

Mo Salah - 104 goals, 38 assists
Bobby Firmino - 70 goals, 43 assists
Sadio Mane - 100 goals, 36 assists

Kings ❤
 
Wanasema adui yako mwombee njaa sasa usitegemee Gary aseme tofauti na haya.

Salah sio kinda japo alikua wazi kabisa kusema ni ndoto yake pia kupata changamoto mpya Spain kabla hajastaafu ana muda wa kufanya maamuzi sahihi kwa sababu mkataba wake mwisho 2023 hivyo ajitazame kuja kujengewa sanamu pale Anfield ama kwenda kuisaka Balon kule Spain..

YNWA
Mpeni hiz 500k kwa wiki msije mkajuta, akiondoka Salah kule mbele timu inakuwa butu kabisa, sioni Jota Firmino wala Mane akifunga magoli ya ushindi kama Salah alivyofanya misimu yote minne iliyopita. Mnaweza mkamsajili hata Haaland ila usajili wake ni bad gambling, Salah akshaprove kuwa ni Goal machine EPL, hao wengine ni gambling mbaya tu
 
Tuishi kwa sasa haya ya baadae tuyaache 😂😂😂😂 kwa sasa tupo vizuri wachezaji jana walikua na njaa ile mbaya kupambana sana yaaaaani mpaka Keita alifanya pressing za ukweli..

Wamempa miwili tena na option ya mmoja inatosha sana. Kwa ana 29.

Ishu kuu ni kwa bei za sasa wachezaji kum replace Salah in terms of goals na assist ni ngumu aje awe like for like labda aje Mbappe au Haaland.

Ngoja tuone.

YNWA
Hao usiwalinganishe nae wapo tofauti kabisa.
Asili ya Salah ni winga uzuri wake analijua goli vilivyo.
 
This season

Firmino - 6 goals in 7 games
Mane - 6 goals in 10 games
Salah - 10 goals in 10 games

Liverpool’s front 3 in the Premier League:

Mo Salah - 104 goals, 38 assists
Bobby Firmino - 70 goals, 43 assists
Sadio Mane - 100 goals, 36 assists

Kings ❤
Msimu uloisha walitia hofu kiasi cha kutamani wapate changamoto ya wenzao wapya tutegemee nini msimu huu kwa huu mwanzo wao?
 
Mpeni hiz 500k kwa wiki msije mkajuta, akiondoka Salah kule mbele timu inakuwa butu kabisa, sioni Jota Firmino wala Mane akifunga magoli ya ushindi kama Salah alivyofanya misimu yote minne iliyopita. Mnaweza mkamsajili hata Haaland ila usajili wake ni bad gabling, Salah akshaprove kuwa ni Goal machine EPL, hao wengine ni gambling mbaya tu
Mkuu lembu kabisa hawa FSG watoe 500k kwa mchezaji mmoja tu na mwenye umri wa miaka 29 mhmhmh sidhani ingekua Barcelona au Real Madrid au FSG ingewezakana ila kwa timu za EPL wako very sensitive kwenye wachezaji wa 30+ kuwapa mikataba amazing kama huu wa Salah. Sana sana utasikia 350k take or go na si kingine...

Kwa huyu Klopp naamini kila mchezaji ni replaceable maana tukumbali tukutae Klopp is the system. Nani angeweza kusema wakati Salah anatua atakua this crucial especially magoli ya kushinda pointi kama anavyofanya miaka yote tangu atue. Haya yote is down to Klopp na pia mchezaji mwenyewe kujituma mazoezini. After all hard work do pay.

Pengine sasa akitua Haaland (haha in our dreams) Klopp atakuja na mfumo tofauti na huu wa kutegemea false 9 wa 4 3 3 . Case study Klopp wa Dortmund enzi la Lewandowski ilikua ni 4 2 3 1 na 4 4 2. Hivyo tuwe na imani na Klopp akisema Salah anabaki basi atabaki akisema huo mshahara haulipiki basi Salah ataodokoa 2023 na hili kwa Klopp sio jambo jipya aliodoka Lewandowski, Emre Can, Gini huku akiwa na amani kabisa na kazi ikiedelea.

System yeyote inaboreshwa na individual creativity na associated tallents. Hata Norwich kocha ana system lakini system imejengwa na matakataka. Arsenal tunawaona, Pep na umahiri wake alikaa Mancity mwaka au miwili na matakataka akashtuka, Liverpool mnakumbuka kabla hajaja Salah magoli yalikuwa shida, kaja Salah mwaka mmoja tatizo likabaki Defense, kaja VVD dozi ikatimia. Akiondoka Salah ndio mtajua umuhimu wake

Liverpool itaendelea kuwa nzuri sikatai ila ile Liverpool ya kusubiri 30 years itarudi Anfield, take my words na uweke kumbukumbu
 
Vardy anakimbiza balaa! Mimi ninayemuhofia zaidi ni Harry Kane tu.

Kwasasa EPL Striker mwenye uwezo wa kufunga goli 20 za EPL kwa msimu ni Harry Kane peke yake. Yule Simtank wa Chelsea ni Muhujumu uchumi tu anayewatapeli Chelsea baada ya kuwahi kuwatapeli Manure.

Hivyo kikwazo pekee cha Salah ni Harry Kane kama ilivyokuwa msimu uliopita. Ila msimu mambo yakimkalia Vibaya Harry Kane basi Salah anabeba Golden Boot.

Adjustments.jpg

Kane wa msimu huu tusubirie tuone
 
System yeyote inaboreshwa na individual creativity na associated tallents. Hata Norwich kocha ana system lakini system imejengwa na amtakataka. Akiondoka Salah ndio mtajua umuhimu wake

Liverpool itaendelea kuwa nzuri sikatai ila ile Liverpool ya kusubiri 30 years itarudi Anfield, take my words na uweke kumbukumbu
Akuu nani anahitaji miaka 30 ije ndio tupate huo ubingwa haha akuuu... FSG ndugu yangu hawa mabeberu wapo cash tight yaaani mshahara wa Salah lazima uwe generated na klabu na si vinginevyo hapo tu ndio ishu ilipo usishangae hawajaanza nae mazungumzo kwa vile numbers zinagoma kuja maana hawa hawanaga utani kwenye ela aisee na ukumbuke pia expansion ya uwanja inaanza soon hivyo hili la Salah tuwe na subira kabisa usije kuta hata sio priority kwao maana hata Klopp alivyoulizwa alisema hana cha kusema.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom