Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Kwahiyo TT kumbe ni kibuyu tu sio na una admit hapa?Hata Salah angekuwa Chelsea asingetupia hivi kama leo ..tatizo ni mfumo tu wa timu. Lukaku ni anajua kuliko hata salah ila hajapata kocha wa kumpangia kikosi cha kumchezesha. TT bado ana struggle kupata mfumo wa kumchezesha The Great Lukaku.
CFC
