Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni sana
Timu zinazogawa uroda zimeshaanza kujitangaza waziwazi
Haya sasa TOT kazi kwenu, City watajilia mpaka wachoke, Watford pia mjiandae
Sisi Chelsea tutakawia kidogo lakini twaja nyuma mwisho wa November tutamalizia raha hapo

Siku Manure atakapokutana na Chelsea Ile atakuwa ameshafukuzwa hivyo hamutapata Mdondo wa kujipigia
 
Maneno kama haya ni Vizuri angeuasema Ollachuga lakini sio Legend kama wewe (Joking).

Nadhani unaelewa wazi Manure anapokutana na Liverpool huwa hakuna mechi rahisi kama unavyodhani, huwa wanafufuka from nowhere kutufunga au kulazimisha sare.
Ndani ya miaka 5 iliyopita EPL tumeweza kuwafunga mara 2 tu (Naweza kusahihishwa). Hii yote ni kuthibitisha ugumu na kukosa mbinu tunapokutana na Manure.

Mkuu me niliyajua hayo mkuu Man U huwezo wake kwa sasa ni mdogo sana na wachezaji wake hawajitumi wanaanza kumlaumu kocha
 
Nyie
Am too happy hadi siijielewi
tapatalk_1575546675466.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom