OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Nyie kuku tulieni dawa iwaingie.
Kesho tuko pamoja na man united.
Adui muombee njaa tu.
Kesho tuko pamoja na man united.
Adui muombee njaa tu.
Leo mnaliwa kiboga kunguni nyinyi
Unateseka ukiwa wapiHawa Rent Boys kitendo cha wao kuja kujisifia hapa Masuala ya Timu yao sijui kama hata wanajua inaashiria nini?
Niwaambie tu inaashiria kwamba Wanatumia Ukubwa wa Liverpool kujipatia Umaarufu as a fake Rivals.
Katafuteni kanga mfunge na vibwebwe viunoni mkawakatikie hao Man UMashabiki wote wa Chelsea tutakuwa upande wa Man u ingawa Man u siipendi
Unateseka ukiwa wapiKatafuteni kanga mfunge na vibwebwe viunoni mkawakatikie hao Man U
Wakifanikiwa kufunga matatu basi ujue wao tayari watakuwa wameshakula zaidi ya 5.Kesho Man united piga hizi takataka bao tatu maana defense yao ni uozo mtupu.
Kwa sisi mashabiki wa Chelsea weekend yetu itakuwa tamu nyinyi mkifungwa na Man u au mkadrawWakifanikiwa kufunga matatu basi ujue wao tayari watakuwa wameshakula zaidi ya 5.
Tukuulize wewe mkuu maana ndio unateseka wakati shughuli sio yako.Unateseka ukiwa wapi
Wishful thinking.Kwa sisi mashabiki wa Chelsea weekend yetu itakuwa tamu nyinyi mkifungwa na Man u au mkadraw