Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Duuu Mourinho mpaka sasa kapigika 6 huku mechi bado bado...
YNWA
Kitimu hata akijulikani,duh noma sana
Duuu Mourinho mpaka sasa kapigika 6 huku mechi bado bado...
YNWA
Aibu ya karne khaaaaa!..Kitimu hata akijulikani,duh noma sana
Acha uwoga wewe.Kuhusu mechi vs Man united
Licha ya kuonekana wanaungaunga ila wanapokutana na sisi wanaibuka kusikojulikana kwa hiyo ushindi kwetu 40%, sare 30% kupoteza 30%
kuna huyu bwana mdogo Rashford, huwa anabahati sana na sisi , yani kakaa majeruhi ila mechi vs liverpool imekaribia tuu kashapona, beki yetu kama kawaida yake huyu dogo lazima atudhuru tuu, hivyo ushindi kwetu utategemea idadi ya magoli tutakayo funga, hii mechi haina droo ya zero zero
Hahahahahaaaa.... Iyo ni derby brodaAcha uwoga wewe.
Game tunashinda hiyo mkuu.
Mark my words
Hahahaha.... Izo ni Kona siyo goli Mkuu. Iyo game % kubwa ni drawGame rahisi kabisa ,united anapigwa goli 5 1HT tu ,mjishindwe tu nyie ....
Khaa sanamu kala suti nilijua ni yule doppelganger kumbe sanamu...
Mane siku hizi amekua mfungaji zaidi... mambo za anao anao hana wala hataki.
Vinicius ni balaa huyu dogo