Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Khaa sanamu kala suti nilijua ni yule doppelganger kumbe sanamu...
YNWA
Me nilishindwa kuelewa kama kuna sanamu hapo,kila nikitafuta tofauti sijaona.
Baadae nikajua kumbe mmoja hapo ni sanamu maana hilo sanamu mpaka meno hayo ni vile kama mo salah.

