Man U 2 - LFC 3Liverpool 1 man utd 3
Hii shughuli ni ya kwetu sisi tuko man united na leo ni leo tu CR7 atawafanya kitu kibaya sana na tena mlivyo na defense mbovu na shati lenu pale golini tuna uhakika wa goli tatu zilizosimama.Tukuulize wewe mkuu maana ndio unateseka wakati shughuli sio yako.
Dah huyu VVD kuna namna hapa maana kabinuka hatari.
Unajitafutia pressure ya Moyo....Kila la kheri Manchester United.
Kila la kheri Manchester United.
Kila la kheri Manchester United.
Kila la kheri Manchester United.
Ukweli kabisa Mkuu.Haina haja ya kulaumu upangaji wa kikosi maana hata wachezaji wenyewe hatuna .
We go
YNWA
View attachment 1985471
Anapenda sana kutufunga huyu mpemba hope konate na Taa watakuwa makiniDanger man ni Rashford...
Kwa upande wa TAA lazima Keita leo asipotee wala kusinzia hata sekude moja maana huyu Mpemba hachelewi kutuumiza....
YNWA
Binafsi hua namkumbali Matip on one to one aisee... Nimemsikia Klopp hapa anasema Konate amekua akifanya mazoezi kwa kujituma sana hivyo yupo tayari kwa mechi hii ya leo...Anapenda sana kutufunga huyu mpemba hope konate na Taa watakuwa makini
Mkuu hii combination ya Bobby na Jota niaje aisee..Anapenda sana kutufunga huyu mpemba hope konate na Taa watakuwa makini