Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo anamuhitaji sana Fab3 mkuu maana naona milner anakimbia kimbia tu though Jones kwenye kukaba pia hajawa mzuri sana.
Definitely bila Fabinho pale kati panapwaya sana..

Tunaongoza 2 hapa inahitajika gemu management ili kuchosha hawa jamaa huku tukitafuta la 3...ila sasa kupoteza mipira kama hivi wala sio powa kabisa inabidi vijana wawe na utulivu hapa..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom