Ilakiza Kibod
Member
- Aug 3, 2019
- 86
- 74
Halafu mnajisifu team boraaa.....ukiona wap...Tulikuwa na kombe la muhimu UEFA na tukabeba... Kwa hiyo kumaliza nafasi yoyote haikuwa shida kwetu
Baada ya kuchomekwa viwili kwa uzembe wa mabeki yenu na Shati lenu Allison Sasa munakosa Cha kusema munaanza kujadili shot on target hahahaha kweli nyie ni kuku akili zenu fupi Sana.Hawakupata hata shot on target hata moja,off target ilikuwa moja.
Uliangalia mechi chalii? Becker katuokoa sana game nyingi. Beki ndio shida ila kipa hana baya kabisa. Hata ile goli ya jana ya KDB kama sio Matip kuuhamisha upande alikuwa anaokoa na labda ile ingekuwa match winning save.Hamuna beki Tena na pale golini Alison ameshakuwa Shati😂😂😂
Hahaha i see. Bado unaishi kwenye last season. Msimu huu kakubakua vizuri tu kachukua point 3 kwako. Yani wewe umeondoka na kibuyu kwake. Mimi nimeondoka na moko. Nani ana afadhali?Mimi nimechukua ubingwa wa ulaya mbele ya Shityee wewe umechukua point moja tu na kubamizwa bao mbili.
Naona umekubali beki zenu ni matakataka tu. Waambie wenzako hamuna beki pale Tena.Mkuu magoli aliyofungwa liver ni uzembe wa beki, usiangalie mfungaji angalia mpira ulipotoka kabla haujafika kwa mfungaji
Klopp na jopo lake na walimu wana kazi kubwa sana aisee. Sina shaka na magoli kufunga mbali nina mashaka na kuzuia. Ile high line kwa sasa inatuumiza sana. Kiungo na defence kinakua bypassed mno. Hii haijakaa sawa.Kabisa na kacheza mpira usio na kifani maana kumng'ang'ania mtu kwa kumshika mkono si mchezo mpira ufundi bwana wee
Chelseafc wana utu sana,hakunakitu kinacho uma kama kufungwa final ya Euefa,kama Chelsea aliweza kumfunga city mara3 mfululizo unadhani angeshindwa kumfunga tena kwenye epl tena nyumbani,alichofanya Chelsea alimwachia makusudi city ilikumfariji Kwa machungu aliyoyapata,sometime kwenye soka lazima tuwewaungwana usipende kuona mwenzako analia kila siku kwaajili yako.Kitu kilicho baki kwa chelsea kwa sasa ni kwamba wanaongoza league tu, hawakumbuki ball possession waliyo kuwa nayo kwa city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Couldn't wish the curtain to fall down..That was a hell of a showdown 🙌🙌
Wacha na mimi nibonge kikristo kama masela wa the kop
Sisi tungekuwa kwenye position ya city tungebeba makombe yote....Halafu mnajisifu team boraaa.....ukiona wap...
Angalia city kafika fainal na kabeba lig we unakuja na utopolo wako et mlikua UEFA?
,[emoji23][emoji23][emoji23]wewe jamaa ni fala sanaChelseafc wana utu sana,hakunakitu kinacho uma kama kufungwa final ya Euefa,kama Chelsea aliweza kumfunga city mara3 mfululizo unadhani angeshindwa kumfunga tena kwenye epl tena nyumbani,alichofanya Chelsea alimwachia makusudi city ilikumfariji Kwa machungu aliyoyapata,sometime kwenye soka lazima tuwewaungwana usipende kuona mwenzako analia kila siku kwaajili yako.
Mimi nimekupa hongera wewe unaniuliza swali, kweli zipo sawasawa au ndio bado huamini City wamezichomo goli zote mbili?Wewe Darajani dhidi ya Man City uliambulia ngapi?
Its simpo ndugu upande wa Milner alisimama Salah na Henderson. Sasa defending inakua most likely ni Henderson afanye msaada kwa Milner huku pia kama inalazimu na Salah asaidie. Ishu jana Henderson gemu ilimkataa na kumsababishia babu Milly shinda zote zile.Hendo was off. Matip alistahili angalau 8 sio 7. Milner kwa aina ya mechi na wachezaji aliokuwa ana wa face siwezi kumlaumu tofauti yake kiumri na Foden ni 14 years. Huwezi ku expect angeenda toe to toe na yule dogo, miguu inakataa.
Foden level yake angekabwa na mtu kama TAA. Halafu pia TAA angekuwepo City wasingekuwa la ile luxury ya kupanda wanavyotaka kwenye ile wing ya kushoto. Angalia kule kulia walikuwa hawana ujanja maana Robbo mtu wa kazi.
All in all tuombee vijana wetu wawe fit tu mapema maana hizi injury zinatuharibia mipango.
VvD bado hajarudi kwenye ubora wake sijui atachukua muda gani kukaa sawa maana saivi yeye ndio anacheza kwenye kivuli cha Matip. It's about time Gomez aonyeshe uwezo wake vizuri.
"If claims are not supported by proof, they are used only by the fools as evidence"Tungedraw na Manure ningelalamika kama nilivyolalamika tulivyodraw na Chelsea kwasababu ni Timu za kawaida tu
Kuku kama wewe ulishindwa kumng'oa ukiwa nyumba kwako tena Chelsea wakiwa pungufu unategemea nani atamng'oa pale juu,bila shaka jamaa ataendelea kupigwa na barafu pale kileleni.We tulia tu utang'oka hapo very soon
Huyo mjaluo bishoo Tu hamna kituSalah na waafrika wenzake watakosa gemu mbili tu wakienda Afcon. Huyo Origi waulize barca na Spurs watakupa historia yake
Nyie msiokua na mabeki wazembe si mgawa tu kwa kila mnaye kutana naye....city kawakojolea kimoja....mkatembea nacho matakon mpaka Turin.....juve akasema nayeye ngja niwakojoleee namm kimojaa.....Baada ya kuchomekwa viwili kwa uzembe wa mabeki yenu na Shati lenu Allison Sasa munakosa Cha kusema munaanza kujadili shot on target hahahaha kweli nyie ni kuku akili zenu fupi Sana.
Salah goli 6Naona umekubali beki zenu ni matakataka tu. Waambie wenzako hamuna beki pale Tena.
3-3 dhid ya Brentford
2-2 dhid ya city
1-1 dhid ya Chelsea.
Ni ligi tu hii bado michuano mingine.
Hadi January utakuwa ushashindiliwa siyo chini ya bao 25+ na draw za kushato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We fala nn....unapaki bus dakika ya kwanza mpaka mpira unaisha unasema ulikua unamuachiaa?...Chelseafc wana utu sana,hakunakitu kinacho uma kama kufungwa final ya Euefa,kama Chelsea aliweza kumfunga city mara3 mfululizo unadhani angeshindwa kumfunga tena kwenye epl tena nyumbani,alichofanya Chelsea alimwachia makusudi city ilikumfariji Kwa machungu aliyoyapata,sometime kwenye soka lazima tuwewaungwana usipende kuona mwenzako analia kila siku kwaajili yako.