Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea haina tofaut na dem Malaya ambaye akikutana na bwana mpya anajidai kukaza anabana mapajaa mwisho wa siku anaachiaaa....
Jirani yako huwezi kumheshimu kuwa nilijali hadi akuzalishie mkeo, Chelsea unaona nitimu ndogo wakati mnaona kabisa inafanya mambo makubwa kuzishinda timu zako unazoziamini.
 
We fala nn....unapaki bus dakika ya kwanza mpaka mpira unaisha unasema ulikua unamuachiaa?...
Jamaa naona unahasira sana lakini ukweli unabaki palepale,isitoshe kupark bus nisehemu ya mchezo kama unaona kupark bus kunaweza kukupa matokeo mazuri kwanini usifanye hivyo.
 
City kakubonda geto kwako halafu humuogopi?
Laiti ungejua huyo City tulichomfanyia hivi karibuni hata hataki kuamini.

Piga EPL, piga FA nusu fainali, Piga fainali ya UEFA...yani hivi karibuni City alitamani sana lile goli 1 aliloshinda darajani angelipata kati ya nusu fainali ya FA au fainali ya UEFA, sema tu ndivyo hivyo tena huwa siku hazirudi nyuma.

City kaifunga Chelsea mwaka huu ktk EPL na bado anakaa chini yetu huko kwa tofauti ya pointi 2.

Hakuna timu yoyote ile Ulaya inayotwaa ubingwa wa ligi yoyote bila ya kufungwa.
 
Sijui yanakujaga kufanya nn huku kwa wanaumeee....

Ila kweli....mwanamke humfuata mwanaumeee...
Tunakuja kwa wake zetu... Maana nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa kuwa mwanamke.

Sasa nenda kaangalie msimamo nyuma ya Chelsea kuna mwanamke gani.
 
Tunakuja kwa wake zetu... Maana nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa kuwa mwanamke.

Sasa nenda kaangalie msimamo nyuma ya Chelsea kuna mwanamke gani.
Lin ukaona mwanaume anaolewa kwa mwanamkeee....ss tulishawaoaaa ....ndomaana hamtoki huku kwenda kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom