Hawa Jamaa kwakupaki basi ni balaa wanaliacha tu mbele Fulushi Lukaku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi sio kituo Cha mabasi Kama lilivyo team lenu....ukiiangalia mpira wa wanaume Liverpool una enjoy....sio ule wa kupaki mabasi mpaka keroo
SanaaaUkiona mtu/watu wanakufatilia sana ujue una mafanikio..
Anatamani team yake iwe Kama liverpool
Kabisa na kacheza mpira usio na kifani maana kumng'ang'ania mtu kwa kumshika mkono si mchezo mpira ufundi bwana wee [emoji23][emoji23][emoji23]Player ratings
Liverpool vs Manchester City player ratings.
Liverpool:
Alisson (7),
Milner (5),
Matip (7),
Van Dijk (6),
Robertson (7),
Fabinho (7),
Henderson (5),
Jones (6),
Salah (9),
Jota (6),
Mane (8).
Subs used: Firmino (6),
Gomez (6)
Sky sports.
Leo Henderson amekua na gemu mbaya sana pasi nyingi zilipotelea kwake. Sijashanga kuona Sky wakimpa rate ya 5.
Milner man huyu babu kumlaumu ni bure kabisa Foden na Grealish sio watu wazuri kabisa. Na zile pasi za Rodri ilikua tafu sana huyu babu kukaa sawa.
YNWA
Salah yule aliye funga goli la kimataifa jana? [emoji23][emoji23][emoji23] Ndio alingane na lile furushi [emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wengi wa chelsea bado mpira hawajui.
Chelsea yao haina huwezo wakuchukua ubingwa sijaona mchezaji wa kuwapa ubingwa pale.na lukaku wao saizi wamekaa kimya,walianza kumlinganisha na salah.
Namwaka huu ukapachikwa ukuni na Juventus sindio?Tuiogope kwa kipi?
Timu imeshapachikwa ukuni mara 6 tuiogope kwa kipi?
Mwaka jana tumemtoa mumeo madrid ulikuwa hujazaliwa?
na ww ushatobolewa goal 6Namwaka huu ukapachikwa ukuni na Juventus sindio?
Hendo was off. Matip alistahili angalau 8 sio 7. Milner kwa aina ya mechi na wachezaji aliokuwa ana wa face siwezi kumlaumu tofauti yake kiumri na Foden ni 14 years. Huwezi ku expect angeenda toe to toe na yule dogo, miguu inakataa.Player ratings
Liverpool vs Manchester City player ratings.
Liverpool:
Alisson (7),
Milner (5),
Matip (7),
Van Dijk (6),
Robertson (7),
Fabinho (7),
Henderson (5),
Jones (6),
Salah (9),
Jota (6),
Mane (8).
Subs used: Firmino (6),
Gomez (6)
Sky sports.
Leo Henderson amekua na gemu mbaya sana pasi nyingi zilipotelea kwake. Sijashanga kuona Sky wakimpa rate ya 5.
Milner man huyu babu kumlaumu ni bure kabisa Foden na Grealish sio watu wazuri kabisa. Na zile pasi za Rodri ilikua tafu sana huyu babu kukaa sawa.
YNWA
Nidhamu gani wakati Muna beki mbovu zinapitika kizembe. Saiv ndio tunajua Allison alikuwa Shati tu sema beki ndo ilimbebaLeo inahitajika nidhamu sana kwenye ulinzi, narudia tena nidhamu kwenye ulinzi, kosa lolote halitatuacha salama , mbele kule ninauhakika kuna goli 2+
Mkuu unamkosea saaana heshima Matip pamoja na Jota.Wiki hii nilielezea sana kuhusu madhaifu ya Timu ingawa kuna Watu hawakufurahia nilichoandika! Lakini niseme kwa Ufupi kuwa Hawa [emoji116] ndiyo wachezaji pekee waliobaki Liverpool.
Kipa;
- Alisson pekee
Mabeki:
- VVD pekee
Viungo:
- Fabinho
- Jones
Washambuliaji
- Salah
- Mane
Kiufupi Timu ina wachezaji 5 tu, waliobakia wote wababaishaji.
Kwenye Benchi ndiyo kabisa hakuna kitu.
Halafu ligi ikaisha uko juu yangu?.....Ulipata majeruhi ya Vvd ng'ombe wewe. Ilikuwa kutwa kulialia plus vipigo.
Yaani benchi lako zimejaa takataka.
Hahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣Beki yetu ni ya kifala kinoma
Sisi sio kituo Cha kupaki mabasi.....tuna uhakika na forward zetu .....sio nyie...masajir mapipa tena kwa hela kibao halafu halifungTuiogope kwa kipi?
Timu imeshapachikwa ukuni mara 6 tuiogope kwa kipi?
Mwaka jana tumemtoa mumeo madrid ulikuwa hujazaliwa?
Kumbuka pamoja na kufungwa magoli hayo bado sisi ndio tuna attack kali kuliko nyie wengine wote.Nyie kuku huu msimu mutatoboka Sana hamuna beki Tena was kuzuia magoli.
Tulikuwa na kombe la muhimu UEFA na tukabeba... Kwa hiyo kumaliza nafasi yoyote haikuwa shida kwetuHalafu ligi ikaisha uko juu yangu?.....
We Ni fala Sana....mwaka Jana mmesajiri wachezaji wa mafungu mafungu ....pamoja na majeruhi yetu tulimaliza juu yenu....Sasa mwaka huuu ...ngja uone
Wakati mnafunga... beki yenu inaachama mnatobolewa... .Sisi sio kituo Cha kupaki mabasi.....tuna uhakika na forward zetu .....sio nyie...masajir mapipa tena kwa hela kibao halafu halifung
Nyie ni matakataka tu na mutafungwa Sana msimu huu.Ni sare nzuri kuipata na Man C
Klopp alikuja vyema kipindi cha pili
Tuzidi shikamana mambo mazuri yanakuja