King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Man City nina wasiwasi na ubora wao Msimu huu lakini ninawaamini sana wakifika kuanzia Januari hawapotezi tena points kizembe.
Yaaani balaa kubwa.....Bundi kaanza kutengeneza kiota Melwood.
Bundi kaanza kutengeneza kiota Melwood.
Bora mzee kwa kukili ukweliChelsea wana nafasi kubwa ya kubeba EPL muhimu wawe na
Consistency tu.
Na lilipuliwe tuu ili humu jukwaani tupumzikeDalili zinaonyesha daraja linalipuliwa leo
Mkuu dulla,hivi yule mwenyekiti wenu wa liva halisi bado yupo au mmemvua cheo 😁😁😁Dalili zinaonyesha daraja linalipuliwa leo
Ukweli upi? Kwamba unafinywa na man city? Alafu OllaChuga Oc kakimbilia wapi?Bora mzee kwa kukili ukweli
Ollachuga Oc njoo huku...Dalili zinaonyesha daraja linalipuliwa leo
Ameenda Mlimani kusali ili tushindeMkuu dulla,hivi yule mwenyekiti wenu wa liva halisi bado yupo au mmemvua cheo![]()



Msimamo wa EPL kwa sasa Liverpool wanaongoza Ligi.Ameenda Mlimani kusali ili tushinde![]()
Bardizbah acha ufala ujue hahahahahahIla wazee tuache utani ile vita ya LIVERPOOL Halisi na LIVERPOOL PEPE nimeimiss aise.![]()


