Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitambo sana sijaonekana kuwasalimia kopites wenzangu

Leo Kaige Gordon naona anaenda kuvunja rekodi ya Ben Woodburn
 
Record Breakers Liverpool..

1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...

2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..

Mdogo mdogo tutafika.

YNWA
raha usipopewa nafasi huku nafasi unayo.
 
Record Breakers Liverpool..

1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...

2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..

Mdogo mdogo tutafika.

YNWA
Hongera sana mkuu. Umeanza Ligi vizuri . Mwaka wako huu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu akiumia mchezaji mmoja wa kutegemewa mnayumba kweli kweli
 
sio vs Crystal Palace... otherwise that is not a record
vs a single EPL team
 
Rekodi naijua ni vs Crystal Palace aisee kama kuna nyingine niambie.

Rekodi ipo hivi... Since August 2017, Liverpool have played against Crystal Palace nine times in the Premier League and in each match Mane has scored.

Amempita Robin Van Persie aliewafunga Stoke City goli 8 mechi 8 mfululizo.

YNWA
 
Tatizo lenu akiumia mchezaji mmoja wa kutegemewa mnayumba kweli kweli
Hilo Mkuu limeanza kuleta ishu maana kaumia kwanza Firmino, Elliott na sasa Thiago ki ifupi sio habari njema kwetu.

Leo sitarajii kuona tena majeruhi mpya maana tuna mechi kali sana kuanzia sasa mpaka October mwishoni.

YNWA
 
Hongera sana mkuu. Umeanza Ligi vizuri . Mwaka wako huu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Plan yetu ni mpaka tunafika January wakati Salah, Mane, Keith wanakwenda Afcon tuwe tumeshaja mbuga vya kutosha 😂😂😂😂😂😂....

Asante sana tunakwenda powa sana.

Naona Thomas kaamsha vijana wanajiona ni mabingwa watarajiwa kabisa. Hongera sana hilo alikosa Lampard yaaani man management.

YNWA
 
Ndio maana kapumzisha watu kibao. Na wajua klopp ha-Value Sana hivi vikombe
Klopp anajua vikombe kwake ni EPL, UCL, Supercup, Club World Cup....

Hawa wa leo wapambane ili wapate real game time ya kutosha especially Taikumi, Konate, Keita, Chamberlain, Gomez, Tsimikas.

Huyu dogo Kaide Gordon kocha wetu anasema ni machini kali akitulia.

Kikosi chetu leo

Joe Gomez is named as captain.

Liverpool: Kelleher, Bradley, Konate, Gomez, Tsimikas, Keita, Jones, Oxlade-Chamberlain, Gordon, Minamino, Origi.

Subs: Adrian, Henderson, Jota, Robertson, Phillips, Morton, Balagizi.

YNWA
 
1st goal. Minamino
1632250707411.gif
 
Rekodi naijua ni vs Crystal Palace aisee kama kuna nyingine niambie.

Rekodi ipo hivi... Since August 2017, Liverpool have played against Crystal Palace nine times in the Premier League and in each match Mane has scored.

Amempita Robin Van Persie aliewafunga Stoke City goli 8 mechi 8 mfululizo.

YNWA
Lakini ili iwe record haitajwi Crystal Palace nikurekebishe. Wote tunajua kuwa ni Palace

Ila kwenye kutamka inaitwa hivi

Mane breaks record for goals against one club​

CASE CLOSED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom