zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Mkuu Leo Numbisa atatuma clip za magoli manne humu, utashangaaMsimamo wa EPL kwa sasa Liverpool wanaongoza Ligi.
Sasa twendeni Brentford Community Stadium tuna jambo letu pale.
YNWA
Mkuu Leo Numbisa atatuma clip za magoli manne humu, utashangaaMsimamo wa EPL kwa sasa Liverpool wanaongoza Ligi.
Sasa twendeni Brentford Community Stadium tuna jambo letu pale.
YNWA
Embu tupia kikos mkuuLet's Go LFC kikosi tyr
Hahaha itakua powa sana kuweka mambo sawa mechi ijayo EPL twakutana na Kipara pale Anfield...Mkuu Leo Numbisa atatuma clip za magoli manne humu, utashangaa
Na wawapige tu... ikiwezekana.Brentford wametuzidi mbinu kiukweli
Kisa nyie mmechokonolewa leo?Na wawapige tu... ikiwezekana.
Timu yenu ya kawaida. Tukutane baada ya 90minsKisa nyie mmechokonolewa leo?