OllaChuga Oc unavyo fanya sio vzur ungempga man city leo ungepotea hv? Sio vzur hivyo.
Hujacheki yaLEEDS NA WHMHii ndio game tamu katika game zote zilizocheza leo EPL
We can't be defending like this.. Soft goals we are conceding...
Upande ule ule wa Trent as usual the weak side to harm us.
Na tukipata nafasi za kufunga hatupo clinical na tatizo sana hili.
YNWA
Kama na nyie mshaanza kubanwa mbavu mapema namna hii hakuna ubishi Guardiola ataendeleza ubabe wake Epl bila shaka.
Single point inawatosha, Mtuache point 3 ili mgundue nini?Game management required.
We need 3 points.
Ollachuga Oc acha kubana bhana kama nakuona haha yaaaaani...
YNWA
Mpunguzane kwa kweliMechi imeisha 3-3
Si matokeo mazuri sana lkn hii imeisha tusonge mbele
Next week na City,vijana watakuwa jome na tuwashangilie
Leo vijana sijui hii gemu waliichukulia powa sana...Leo defense imepwaya