Huyu Tsimikas ana klosi tamu balaaa.2nd goal. OrigView attachment 1947784
Thanks mate.1st goal. MinaminoView attachment 1947744
Huyu dogo kipaji kipo ajengewe kujiamini na apate gemu time atakua tishio sanaaaaa..3rdgoal. MinaminoView attachment 1947813
apewe LW tutauona ubora wake...Huyu dogo kipaji kipo ajengewe kujiamini na apate gemu time atakua tishio sanaaaaa..
Klopp alisema hamuuzi Juni 2021 akisema bado anaamini ana nafasi ya kucheza cha msingi awe na utulivu.
YNWA
Klopp atakua mpaka sasa amejua wapi panamfaa zaidi... Msimu uliopita alijaribu kumchezesha MF na hakung'aa kabisa ngoja tuone hii LW kama atapangwa tena.apewe LW tutauona ubora wake...
akicheza hapo ubora hua unaonekana
Tatizo LW ni no. ya mwanae (Mane). kumuweka bench au sub hamfanyii. Bora no. 9 wabanane Minamino Origi Firmino Jota Mane aendelee ku mwenyewe. Au Salah atatolewa au kuanzia bench kuliko Mane.Klopp atakua mpaka sasa amejua wapi panamfaa zaidi... Msimu uliopita alijaribu kumchezesha MF na hakung'aa kabisa ngoja tuone hii LW kama atapangwa tena.
YNWA
Tumuache kocha afanye kazi yake. Yeye ndio ana train na wachezaji day in day out. Minamino anahitaji kupata more minutes kweli hasa kwenye league just in case kikitokea chochote tuwe na proper backup.Tatizo LW ni no. ya mwanae (Mane). kumuweka bench au sub hamfanyii. Bora no. 9 wabanane Minamino Origi Firmino Jota Mane aendelee ku mwenyewe. Au Salah atatolewa au kuanzia bench kuliko Mane.
Tumuache kocha afanye kazi yake. Yeye ndio ana train na wachezaji day in day out. Minamino anahitaji kupata more minutes kweli hasa kwenye league just in case kikitokea chochote tuwe na proper backup.
So far amekuwa ni cup player zaidi hata magoli yake mengi aliyotufungia yamekuja kwenye cup competitions
Kwa kuangalia Afcon itabidi awe anapata dakika za kutosha ili awe stand by muda ule Mane na Salah watakua hawapo..Tatizo LW ni no. ya mwanae (Mane). kumuweka bench au sub hamfanyii. Bora no. 9 wabanane Minamino Origi Firmino Jota Mane aendelee ku mwenyewe. Au Salah atatolewa au kuanzia bench kuliko Mane.
Klopp needs to give Minamino more minutes confidence irudi