ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Yeah inabidi apambane na hao anaowaamini.Klopp ana trust issues hilo liko wazi.
Hua naamini kikosi kinaanza kupangwa mazoezini hivyo sijui hawa wachezaji wasiopata nafasi mara kwa mara hua hawaonyeshi makali ya kutosha kuaminika na Kocha.
Ishu pia nafasi wakipata in real game hua tunaishia lawama za one game wonder kwa mfano Chamberlain, Keita, Origi hawana consistency ku deliver as we fans expect na as Klopp demands hilo ndio linawakwamisha. Dogo Jones ndio bado anasoma kwa wanaojua ipo siku atamiliki Right MF ni muda tu sababu kipaji kipo..
Klopp at times tunamlaumu bure aisee maana utasema lete Keita, Ox aafu wanawekwa tazama sasa unachopata tofauti kabisa na tunavyotarajia.
Na pia FSG policy yap inambana Klopp kua na benchi kama la Chelsea au Manchester City aisee. Hatuna namna wapambane tu.
YNWA
Meanwhile hongereni kwa ushindi. Jana pia mmenipa pesa ya bia wiki nzima.
Liverpool won
Man city won
PSG both scored
Ajax won
Borussia Dortmund won
Nimeamka na 450k. Nilijitosa 40k
Kubeti raha sana kama huna stress.




