Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,485
- 5,362
Acha tu mkuu usinicheke,
Acha tu mkuu usinicheke,
La 3 limekataliwa,. Milan wamepata nguvu kubwa sana, tukichomoka Leo Mungu wa Anfield atakuwa kashiba vyema Leo,Aisee mmepigwa goli 2 za fasta fasta ndan ya dakika 2
Zumbemkuu duh Keita mbona mie naona leo ndio weak link hana speed kabisa..
YNWA

Ngapi huko Anfield mkuu?
tuachane na hao watoto wa darajani
Timu yenye mafanikio makubwa katika modern era ni Chelsea pekee na ni lazima ichukiwe mkuu
"Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"


Mshaanza kuleta vidomo domo ee?Liverpool 1 vs Milan 2
AC Milan wako slow but sure![]()



Mshaanza kuleta vidomo domo ee?




kutesa kwa zamuAu wakomae na hizi point 3,Wapige bao la nne sasa ili kujihakikishia ushindi...
Hilo goli lake kesho waandishi wa England watasema linaponyesha CORONAHendersoniii8ii
Pia namuonea huruma MINAMINO naona kama klop kaamua kumuua kisoka. He should have started today but yuko benchi hata usoni anaonyesha huzuni. Kama hawezi mtumia amuuze au ampeleke kwa mkopo. Chamberlain alitakiwa auzwage mapema tu. KONATE nae mwingine wa kutia huruma. Maana hata carabao ataanza Phillips Ana Gomez......Asubiri majeruhi tu ndo atacheza.Namuonea huruma sana Konate