Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
Acha ushamba wewe mjaluo
 
Pia namuonea huruma MINAMINO naona kama klop kaamua kumuua kisoka. He should have started today but yuko benchi hata usoni anaonyesha huzuni. Kama hawezi mtumia amuuze au ampeleke kwa mkopo. Chamberlain alitakiwa auzwage mapema tu. KONATE nae mwingine wa kutia huruma. Maana hata carabao ataanza Phillips Ana Gomez......Asubiri majeruhi tu ndo atacheza.
Huyu Klopp ni mbaguzi aka racist ..kwa sababu Konate na Origi ni weusi ndio maana hawapangi ..usiniulize kwa nini mane na vvd wanacheza wanacheza, ni kwa sababu hajapata wachezaji weupe wa replacement yao. Ubaguzi wa a hali ya juu kama wa klopp hautakiwi katika soka. Aliwahi kummaliza pia former Chelsea player, Daniel Sturrigde.
 
Minamino kweli sura yake yatia huruma

Una viashiria hatar sana vya ubaguzi...
 
Mkuu ebu mpe klopu mbinu hasituaibishe nyumbani manake naona moto unawaka balaaa
Klopp hapangiwi aisee... This German Nazi has some balls kwa kweli...

Ukiangalia upande wa pili game management ni muhimu sana kwa VVD hivyo cha msingi ni kuwapa second chance wachezaji wengine angalau waone wanaaminika ni kuwapa proper competition ili kuwaweka tayari wakihitajika any time.

YNWA
 
Tatizo la Klop ni kama ya Mourinho tu. Akiamini wachezaji fulani basi hao hao atadeal nao mpaka mwisho.

Kocha anapofanya Rotation hata ya mchezaji mmoja inawapa motisha wengine pia ina fanya wachezaji wasichoke sana na kupunguza pron za injury za mara kwa mara
 
Here is my take (bitter but can safely say nearly factual) based on my observation during the past 2 seasons:

A: Take VVD out of our team (even with Klopp at the helm):
1. In the EPL, we'll be relegated into a top 4 dogfight, not title contenders. Even this will be all down to Klopp's magic wand
2. In the UCL, we'll be a regular last 16 dropout (or last 8 at best)

B: Keep VVD but take out Klopp:
1. In the EPL, we'll be an Everton
2. In the UCL, we'll be glued to the TV every season enjoying the misery of the Manure

C: Take out both VVD & Klopp:
1. In the EPL, we'll be another Arsenal (I mean Arteta's Arsenal)
2. In the UCL, we'll not even have any appetite to follow this competition
 
Duh...
 
Klopp ana trust issues hilo liko wazi.

Hua naamini kikosi kinaanza kupangwa mazoezini hivyo sijui hawa wachezaji wasiopata nafasi mara kwa mara hua hawaonyeshi makali ya kutosha kuaminika na Kocha.

Ishu pia nafasi wakipata in real game hua tunaishia lawama za one game wonder kwa mfano Chamberlain, Keita, Origi hawana consistency ku deliver as we fans expect na as Klopp demands hilo ndio linawakwamisha. Dogo Jones ndio bado anasoma kwa wanaojua ipo siku atamiliki Right MF ni muda tu sababu kipaji kipo..

Klopp at times tunamlaumu bure aisee maana utasema lete Keita, Ox aafu wanawekwa tazama sasa unachopata tofauti kabisa na tunavyotarajia.

Na pia FSG policy yap inambana Klopp kua na benchi kama la Chelsea au Manchester City aisee. Hatuna namna wapambane tu.

YNWA
 
Here is my take (bitter but can safely say nearly factual) based on my observation during the past 2 seasons:

A: Take VVD out of our team (even with Klopp at the helm):
1. In the EPL, we'll be relegated into a top 4 dogfight, not title contenders. Even this will be all down to Klopp's magic wand
2. In the UCL, we'll be a regular last 16 dropout (or last 8 at best)

B: Keep VVD but take out Klopp:
1. In the EPL, we'll be an Everton
2. In the UCL, we'll be glued to the TV every season enjoying the misery of the Manure

C: Take out both VVD & Klopp:
1. In the EPL, we'll be another Arsenal (I mean Arteta's Arsenal)
2. In the UCL, we'll not even have any appetite to follow this competition
B.... Take Klopp out bring Conte or El Cholo and we will rock n roll like the eighties....

C.. Konate is heir to VVD. On that department after last season miseries Klopp cant gamble. VVD aint getting any younger management of his playing time should be top class to get th best from him.

Let's be positive we are still a top class team when all the main guys are fit.

In Klopp and the Boys i trust.

YNWA
 
Nyie KUKU BROILA mnaua kipaji cha Konate, kama mlijua anakuja kusugua benchi kwann mlimchukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom