Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
Punguza hasira mwamba
 
Tatizo limeanzia hapa

433-20210915-0001.jpg
 
Kuna possibility yakupigwa home
Pale nyuma kuna tension..

Pale mbele yale yale yale ya siku zote chance zipo za kutosha lakini vijana hawapo clinical yaaani umaliziaji shinda... How i wish Robert Lewandowski was a RED mpaka sasa tungekua tunaongoza 4..

Kati Keita ipo shinda..

YNWA
 
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
Ngapi huko Anfield mkuu?
tuachane na hao watoto wa darajani
 
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
VP Mzee Liverpool 1st half wamechezaje
Km fools
Rude boys
Immature boys
Ignorant boys au VP?
 
Kama ulivyo ww sio
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
 
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.

Hizi ni chuki tu na kujiona ninyi ni bora kumbe wale wale. Mkuu mpira si chuki wala hasira. Mpira burudani ilichanganyikana na utani.

Wekeni tofauti zenu pembeni tutaniane na kuburudika. Ukifungwa kubali ukishinda furahi.

Meanwhile naona mnapelekwa mputa mputa na milan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom