King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Konate tulia usijetuletea Tuta
Rotation ni muhimu sana aisee ishu kuu una rotate kwa kuweka nani..Nimependa klopp rotation anazofanya kwa sasa. Sema badala ya kumwanzisha mzee milner angeanza Gomez.
Katikati ya dimba ndipo palipo na roho ya timu. Uwepo wa Fabby mkata umeme, na regulater Captain heddo ulinzi unakuwa umeimarshwa. Thiago yeye kazi ni kupandiaha mashambulizi mbele.
I can see a clean sheet.
Milner leo kama hajapewa Red sijui kwa huyu dogo khaa noma sana....Zaha anakimbia kwa kasi Milner asijisahau hata dakika moja
Atulie we need him at his best 💯 kwa kweli...Sijajua kwa nini Matip hata bench hayupo. Injured au kapumzishwa tu?
Combo ya hendo na thiago huwa ni ya drooNimependa klopp rotation anazofanya kwa sasa. Sema badala ya kumwanzisha mzee milner angeanza Gomez.
Katikati ya dimba ndipo palipo na roho ya timu. Uwepo wa Fabby mkata umeme, na regulater Captain heddo ulinzi unakuwa umeimarshwa. Thiago yeye kazi ni kupandiaha mashambulizi mbele.
I can see a clean sheet.
I get your pointAtulie we need him at his best 💯 kwa kweli...
Our main guys are over 29 yrs hivyo managing thier game time is very crucial.
YNWA
No draw with this bottom teams man otherwise we would be in a very tight spot with this season plans...Combo ya hendo na thiago huwa ni ya droo
We should be doing better then that
King umeamua verified kabisaHii ya Tsimikas kumchezea Benteke ilikuwa ni Tuta kabisa