Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha siku hizi Numbisa haposti magoli matamu kama ya chelsea ..magoli Yale unaeza yamezea na ugali kabisa. Salah ana mengi ya kujifunza kwa Lukaku the Great
Huku kama kawa gif zinatua aisee...

Chelsea mnakwama wapiiiiiii...

Hivi Lukaku hata EPL au UCL kweli aliwai nyanyua kwapa au una leta yajayo hapa...

Salah ni level zingine kabisaaaa huyo dogo wenu atasubiri sana... Salah winga mfungaji na mpaka sasa ni centurion pale EPL yaaani baada ya Drogba anafuata Salah kutoka Africa kama wafungaji bora EPL wa muda wote...

YNWA
 
Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.

Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Tunaomba msamaha urudi tena
 
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans anasema kwamba anaweka hatma yake wazi huku akiendelea kujadiliana kuhusu mkataba wake na klabu ya Leicester. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amehusishwa na uhamisho wa Liverpool, Manchester United , Barcelona na Real Madrid..
 
Kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, amesema kwamba alitaka kusalia katika klabu ya Liverpool , lakini akaondoka katika uhamisho wa bila malipo kuelekea PSG baada ya kuhisi kwamba ahitajiki na The Reds.
 
Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.

Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Mkuu acha visasi rudi tuletee burudani. Acha chuki isiyo kuwa na tija
Mpira burudani si chuki ya kudumu. Chelsea one love for reva
 
Hii ndo shida ya Kununua mchezaji ukitegemea kutakuwa na injury. Yule beki wetu mpya atasugua mpk ataona utamu wa shubiri.
 
Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.

Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.

Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
 
Siku nilipoulizwa kwani huto tu picha sh ngapi ndo ikawa mwisho. Hope watajirekebisha
Bado unaendaga kwenye Uzi wa Chelsea?
Mara ya mwisho mimi kupita kwenye Uzi ule nadhani ilikuwa 2020.

Uzi hule umeejaa
  • Fools
  • Rude boys
  • Undisciplined boys
  • Wretched Boys
  • Immature boys
  • Ignorant boys
That's why unaweza kuta wanasifia ujinga na kutukana yenye maana.

Yani ule ni Uzi wa Watu wasio na adabu kazi kujazana Ujinga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom