ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Ahsante sana. Sema sijachukulia kama serious business. Huwa naweka mkeka then napotezea naendlea na inshu zingine.Duuh kweli upo vzuri kwenye hio field haha full pro yaaani ...
Mwenzio haya mambo ya betting hua siyajui kabisa na sijawai weka bet kwa mhindi aisee..
Liverpool kwa sasa ukimuona VVD, Fabinho, Matip, Salah na Allison ndani wewe ujue ushindi ama sana sana sare ipoo...
Kwa kweli i wish you all the best.
YNWA
Huu ni mchezo wa kubahatisha nami nabahatisha tu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

