Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Amecheza mechi 72 Inter Milan na kufunga goli 47..huku pia akiwa play maker hilo akiwa Manchester United hakua nalo to this standards za sasa.

Conte ni kocha wa counter attack huku akitumia wing backs almost same na Thomas ndio maana nasema kwa huu usajili mpo pazuri sana kuleta changamoto kwa Manchester City.

YNWA

Hongereni sana naona mmeanza ligi kwa kishindo

Chelsea 4 reva
 
1st goal. Jota
1628968772312.gif
 
@Captain Marvelous umeona forward za BRE zilivyo clinical na vile zina maamuzi? au Ni beki tu wa arsenal ndio wabovu sana?
Hivi inamaana hatuna mascouts wazuri wakutuletea forward kutoka hata championship kwa bei nzuri? maana tunaogopa tunaogopa kutoa mpunga mkubwa wakati timu kama BRE zina watu wenye maamuzi wazuri tu.
Mkuu hawa Brentford wana pool nzuri sana ya ma scouts yaaani watakua Dortmund ya UK one day...

Season ya 2019 2020 walichemka kwenye play offs baadhi ya wachezaji wao wakaona wapo tayari kwenda kukipiga EPL wakauzwa tena mpunga wa maana.. Waliwauzia Astona Villa strika Olli Witkins kwa £32m na dogo amekua a proper bargain tazama alivyo pale Aston Villa kiasi some Kops wanasema Klopp should make a move for the boy awe mridhi wa Firmino..
Wakauza pia kwenda WestHam Said Benrahama kwa £22m. Hio pesa wakawekeza kujenga kikosi cha kuingia EPL 2021 2022 na hakika wamefanikiwa.

Hawa jamaa wana buy raw talent na kuwapa nafasi za kutosha na wana walimu wazuri pia. Kocha wao Thomas Frank alijiunga nao 2016 kama kocha msaidizi na mwaka 2018 akawa kocha mkuu rasmi. Ana uzoefu wa kufundisha vijana under 18s kwa zaidi yaiaka 20.

Wasipopata majeruhi basi watakua salama kubaki EPL.

Ya Arsenal tuwaachie wenyewe maana mechi zinazofuata in paper ngumu ila usishangae wakatoka na ushindi.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom