Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anatakiwa kuchapwa kama 3 hivi mfululizo
Kwa hii EPL ilivyo naweza sema matokeo ya mwanzo wa Ligi sio ya kuyafurahia sanaaa yaaani kuleta ubingwa wa Ligi, hapa matokeo yenye uhakika wa ubingwa ni kuanzia January 2022 hapo ndio msimamo unaanza kuleta ni vipi nasafi ya kwanza mpaka ya 6 itakua.

Unless itokee timu iwe moto mbaya sana isifungwe kuanzia sasa mpaka January 2022 basi hao watakua wamemaliza Ligi mapema sana case study Liverpool season 2019 2020. From the word go tulikomaa mno na hatimae ubingwa ulitua Anfield.

YNWA
 
Really lakini pia tahadhari inatakiwa na kunituma kipindi hiki maana ukiteleza mpinzani wako kuzidi points nyingi utakufa moyo wa kupambana kuanzia hiyo January
 
Mkuu huu msimu kila mtu anajua Chelsea ndio bingwa. Huoni tuna goal machine Lukaku?!! Hivyo nyie pambanieni hizo nafasi zilizobaki..
#CFC
 
Leicester yupi wa kumtoa upepo Liverpool khaaa tulia babu...

Msimu huu tunakua kivingine hivyo utulie tuliiiii huu mchezo hautaki hasira.

YNWA
Mkuu kwa sisi wabobezi wa soka tunaona kabisa liverpool hatomaliza msimu juu ya Leicester japo wanaweza pishana point chache.
Inahitaji akili kubwa sana ya kisoka kuona huu mpenyo. Hii sio imagination ni logic mkuu.
 
Kwa hili la Leicester ndugu nina uhakika kabisa labda yatokee majeruhi 1st 11 wote iwe nje kwa muda mrefu and i forbid hata tusipate majeruhi this time especially pale defence...

Kama last season walichemka mkawa mnakimbizana nani abakie Top 4 basi kwa Liverpool hii ikiwa ilivyo hana huo ubavu..

Ollachuga Oc acha uoga misimu hii miwili Leicester amekukimbiza mbio za Top 4 mpaka mechi ya mwisho wa msimu hivyo usidhani sisi ndio ahamishie hizo mbio kwetu huyo anakuhusu wewe.

Kikosi kwa sasa nina imani Top 3 nimo sanaaaa...

YNWA
 
Mkuu huu msimu kila mtu anajua Chelsea ndio bingwa. Huoni tuna goal machine Lukaku?!! Hivyo nyie pambanieni hizo nafasi zilizobaki..
#CFC
😂😂😂😂😂Lukaku huyu EPL alichemka ni kamali ndugu ikiwa YES mmetoka salama kuleta ushindani EPL na ikiwa ni NO utakua umejimaliza mwenyewe maaana kwa ule mpunga ni nomaa sanaaaa....

Usajili bado hatujamaliza hivyo uwe na subira mpaka dirisha linafungwo usije shangaa akatua Halland 🤔😂😂😂😂dreams come true...

YNWA
 
Really lakini pia tahadhari inatakiwa na kunituma kipindi hiki maana ukiteleza mpinzani wako kuzidi points nyingi utakufa moyo wa kupambana kuanzia hiyo January
Hahaha the earlier the better... Consistency ndio siri ya ushindi EPL tukifanikiwa hilo waaaa am positive ubibgwa huu unatua kabisa kwa Majogoo wa Jiji...

Kwa hii mechi ya kwanza nilifarijika kuona Salah sasa anaanza kuelewa timu glory ni bora kuliko individual accolades kama ataedelea na hio mentality man we are unstoppable na ubingwa unakuja Anfield huku main players wakiwa injury free.

Tunahitaji wachezaji wawe wazima, pale mbele wawe clinical na bila umimi then the rest itaji sort kabisaaa....

Hapo akitua na Jarred Bowen kutoka Westham na Pellegrini kutoka Roma haha we will rock n roll big time..

YNWA
 
Kwa hili la Leicester ndugu nina uhakika kabisa labda yatokee majeruhi 1st 11 wote iwe nje kwa muda mrefu and i forbid hata tusipate majeruhi this time especially pale defence...

Kama last season walichemka mkawa mnakimbizana nani abakie Top 4 basi kwa Liverpool hii ikiwa ilivyo hana huo ubavu..

Ollachuga Oc acha uoga misimu hii miwili Leicester amekukimbiza mbio za Top 4 mpaka mechi ya mwisho wa msimu hivyo usidhani sisi ndio ahamishie hizo mbio kwetu huyo anakuhusu wewe.

Kikosi kwa sasa nina imani Top 3 nimo sanaaaa...

YNWA
Impact ya usajili tuliofanya msimu uliopita nadhani umeishuhudia. Back to back European cups..na sasa tuna goal machine Lukaku hivyo uwakika wa kubeba all major trophies tunao kwa 93% hivyo hizo nafasi tuliomaliza msimu uliopita msimu huu tunawaachia nyie.
Ninyi pambaneni na Leicester na spurs kwa sasa naona misimamo utakuwa hivi:
Chelsea
Man city
Leicester
Man united
Liverpool
Spurs

Imeisha hiyo tunabeba kombe asubuhi tu ..nyie liver subirini hadi msimu wa 2030 kubebe tena EPL.
 
Hahahaaaaaa

daah
 
Naona leo Kaskazini kumekucha. Hivi ingekua usajili ndio ubingwa si ingekua una Champions League 10+ mpaka sasa, tangu atue Boss Roman..

Kwanza nisema una kocha safi kabisa anaejua kuwatumia vijana wake vyema kabisa. Uzima wa Kante na Mateo ndio injini yako ile maana bila wao ku click nakuhahakishia wing backs system ita fail tu...

Huo uwezo wa kuchukua back to back UCL huna ndugu.

Chagua moja aidha Primia au UCL.

Hahaha msimamo mpaka sasa wewe utamaliza nafasi ya 2 au 3 na si vinginevyo...

Uzuri hata kipindi yupo Lampard ulikuja hivi hivi ni mwishowe tunajua nini kilitokea..

YNWA
 
We didn't even get into the second gear in our today's game vs Norwich but still won comfortably 3-0 away from home.

This should scare Pep even more!
Scared beaten by Nuno haha am sure he is preparing the cheque to acquire Kane immediately.

Things will get messy with man of the top 4 teams investing heavily this season wil be tough.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom