King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Nakumbuka Chelsea Fanboys baada ya Msimu mmoja wa Salah akiwa Liverpool, as a way kujifariji juu ya kumpoteza kwao basi wakaja na Ngonjera za kuwa Salah ni 'One Season Wonder'.
Tupoooo nasubiri Mwenyekiti wangu wa LIVERPOOL HALISI aje tuendelee tulipoishia kumuomba MunguSince last season baada ya Timu kuboronga kuna Mashabiki wenzetu wa Liverpool wengi wametuacha Mkono! Nawaomba warudi kwenye huu Uzi tuiunge Mkono Timu yetu.
Tayari Timu 2 za Rent Boys and Noise Makers wameshaanza mbwembwe utadhani umebakia mchezo mmoja Ligi kumalizika.

Ka Jota kako sharp!1st goal. JotaView attachment 1892511
Beki mzuri sanaaa inafaa wapokezane kulinda kiwango chakeVipi performance ya yule beki 3??Kostas tsimikas Jana???wadau mnaionaje??
Dogo anapiga krosi sana yuleVipi performance ya yule beki 3??Kostas tsimikas Jana???wadau mnaionaje??
Hivi yupo kweli huyu mwamba??Tupoooo nasubiri Mwenyekiti wangu wa LIVERPOOL HALISI aje tuendelee tulipoishia kumuomba Mungu![]()
Anatakiwa kuchapwa kama 3 hivi mfululizoNimefurahi City kuchapwa...

Leicester yupi wa kumtoa upepo Liverpool khaaa tulia babu...Hii timu msimu huu itazidiwa hadi na Leicester.
Liverkuku..
Hii timu msimu huu itazidiwa hadi na Leicester.
Liverkuku..